Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Habari za leo wanajamvi? Nikiwa miongoni mwa waTanzania wengi tunaotumia simu za low budget, kwa muda mrefu nilikuwa nimebanwa na Android OS za akina Huawei na Tecno.
Ila baada ya muda nilivutiwa na muonekano wa nje wa Huawei W1 (inayoendeshwa na Windows 8.0 OS). Kimuonekano ni simu nzuri na inashkika.
Sasa katika yote nimependa stability yake hasa upande wa ku-run multiple tasks with less lagging.
Pia hata kwenye gaming iko vizuri. Niliweka simple game ya traffic racer kwenye android ya Y300 na Y530 (Huawei).
Matokeo ni kuwa game kwenye hizo android mbili imekuwa iki-lag kiasi wakati kwenye WP ilikuwa smooth. Nimeshangaa sana kwanini WP iko stable than those two Androids japo zina RAM sawa ya 512.
Sasa kutokana na hoja hizo chache kwa mujibu wa upeo wangu mdogo ningeomba kuelimishwa zaidi juu ya utofauti huo wa ufanisi.
Karibuni