We kichwa box kweli,Yaani unaona sirikali inakopa mishahara alafu tena itoe mishahara kwa wasio na kaZi.Mashamba yapo tu kibao,okota chupa,hela ya kujiunga mtandao i kila siku si uanzishe biashara ya vitumbua ambayo mtaji ni elfu 40ULAYA WANALIPWA KWA GADAFI ILIKUWA HIVYO KWANINI TANZANIA WENYE SHAHADA BILA KUJALI WANAAJIRA AU LA WALIPWE MSHAHARA JAPO TGS C MAANA WENGI WAMO HUMU JAMII FORUM WANAJADILI MAMBO KWA AJJAILI YA TAIFA VOCHA WATOE WAPI WENGINE WANAKWENDA KWENYE MIJADALA MBALIMBALI JAPO HAWANA AJIRA NAULI WATOE WAPI.
Ndiyo mkuu, heshima irudi bn, ushatuma application ngapi mkuuu [emoji3] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me 1365870u
meonaa eheee
Hii comment ni ya mtu alieishia la pili B[emoji4]Hebu wafanye hivyo turudishe heshima kitaa bn, tumekuwa kama tuliishia la pili B
Hata sisi ambao tumeishia darasa la pili tulipweNasisi tulio na diploma tulipwe asee
Nyinyi hamna cheti mtalipwaje? ?Hata sisi ambao tumeishia darasa la pili tulipwe
Kwani matoke ya mitihani ya kumaliza Darasa la kwanza Na cheti Cha vidudu si vipoNyinyi hamna cheti mtalipwaje? ?
Utakuta umeajiriwa mwaka wa kumi halafu huna hata genge la kuuzia vitumbua ila unapiga kelele fresh graduate wajiajiri.serikali ikiamua kulipa mishahara jobless.. napendekeza walipwe wagonjwa, wazee na watu wasio na elimu kabisa maana kukosa elimu kinawazuia kuona fursa zilizowazunguka..
graduates wasilipwe hata senti zaidi ya kukopeshwa mitaji tu tena na kupewa mwaka mmoja wa kujiweka sawa na baada ya mwaka waanze kulipa madeni...
elimu ni uwezo sio vyeti.. graduate kasoma degree ya ujasiriamali au utawala wa biashara bba au b com lakini anashindwa kuona fursa zilizojaa tanzania wanakuja wageni wahindi, wachina na wengineo wanatajirika tu hapa nchini..
ushawai kuona wale watanzania wenye asili ya india au waarabu na wapemba wanalalamika kwa serikali ajira hakuna... wao wanajiendeshea maduka yao tu na kampuni zao na ndio wanaishi maisha mazuri.. kina sisi na vyeti vyetu tunangangania ajira tu na hata mishahara bila kufanya kazi..
hata nchi zilizoendelea.usa na uk hakuna huo upumbavu wa kulipa watu wenye nguvu zao mishahara ya bure
Ungejua idad ya wafanyajaz hewa wanaolipwa UNGEZIMIAWe kichwa box kweli,Yaani unaona sirikali inakopa mishahara alafu tena itoe mishahara kwa wasio na kaZi.Mashamba yapo tu kibao,okota chupa,hela ya kujiunga mtandao i kila siku si uanzishe biashara ya vitumbua ambayo mtaji ni elfu 40