Kwanini wengi wa wanawake wanfanya hivyo?????

Huko nilikopaka rangi nimepapenda, wish all TZs tungekuwa innovative kama wewe especial on constructive issues. Usinielewe vibaya
 
heee hiyo ndio sababu ya kumfanya mtu awe na nyumba ndogo? bac kazi ipo kha.
Wewe ulidhani ni kitu gani Nyamayao?? Kuna issue nyingine zinaonekana ndogo sana ila huweza kuleta mambo makubwa.
 
weli alikupata dearest, sio uongo!...hatakaa apate tena maishani mwake...kaichezea hiyo!
Are you sure about that thing in red?? Yaani unadhani kina MJ1 wameisha dunia hii????!!!!!!!!! Sorry to dissappoint u, bado wako wengi sana. BTW huyo X wa MJ1 kiboko duh! Nashindwa kuelewa jinsi watu wengine wanavyoweza kuvumilia ujinga kwenye mahusiano. Pole MJ1.
 
Uko sahihi but kukiwa na sababu Ya kufanya hivyo so be it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…