Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Kuna kipindi nilienda U.K kwa shangazi mitaa ya Edmonton Green, Katika kuishi kwangu huko nje kwa takribani miezi miwili niligundua ya kwamba wazungu ni watu wapweke mno, Yani maisha yao sio kama huku kwetu ambako hali ya kujumuika na wanafamilia, ndugu na marafiki ipoo juu...Nilishuhudia wazungu wengi sana hasa vijana niliokutana nao mitaani, subways, n.k wakiwa wapweke....
Kwa utaalamu wangu wa simu na computer nilionao nilikuwa nashinda na mtoto mjomba wangu aliekuwa fundi simu na vifaa vingine kama laptop, kuna simu kadha na kadha nilikuwa namuomba nizcheki na vitu nilivyokutana navyo vilinipa jibu tosha kwamba wazungu wengi ni wapweke, ilikuwa kawaida kukuta kwenye whatsapp na message chats kwamba mtu anawasiliana na mtu mmoja tu na akizidi basi ni watu watatu🙁,
Pindi napovuta picha ya wabongo ambao walikuwa very social kiasi kwamba mtu kuokea simu mara 40 na mesaage lukuki kwa siku ni kawaida basi nikawa nawaona hawa wazungu ni wapweke mno,
KWANINI WAZUNGU NI WAPWEKE?
BusyKuna kipindi nilienda U.K kwa shangazi mitaa ya Edmonton Green, Katika kuishi kwangu huko nje kwa takribani miezi miwili niligundua ya kwamba wazungu ni watu wapweke mno, Yani maisha yao sio kama huku kwetu ambako hali ya kujumuika na wanafamilia, ndugu na marafiki ipoo juu...Nilishuhudia wazungu wengi sana hasa vijana niliokutana nao mitaani, subways, n.k wakiwa wapweke....
Kwa utaalamu wangu wa simu na computer nilionao nilikuwa nashinda na mtoto mjomba wangu aliekuwa fundi simu na vifaa vingine kama laptop, kuna simu kadha na kadha nilikuwa namuomba nizcheki na vitu nilivyokutana navyo vilinipa jibu tosha kwamba wazungu wengi ni wapweke, ilikuwa kawaida kukuta kwenye whatsapp na message chats kwamba mtu anawasiliana na mtu mmoja tu na akizidi basi ni watu watatu🙁,
Pindi napovuta picha ya wabongo ambao walikuwa very social kiasi kwamba mtu kuokea simu mara 40 na mesaage lukuki kwa siku ni kawaida basi nikawa nawaona hawa wazungu ni wapweke mno,
KWANINI WAZUNGU NI WAPWEKE?
Active mind, muda hamna, tuongee nini?Uongeaji sana ni dalili za iq ndogo, kuwa na muda wa kukaa pekee yako ni dalili ya IQ kubwa...na hali hii inawasaidia sana wazungu kuwa wavumbuzi,wabunifu na rahisi kufanikiwa..
more gossips more foolishness,less gossips more success
Hongera kwa hizo idadi za simu unazopokea,,,hata kama ni 2Mkuu mbona mimi kwa siku sipokei simu zaidi ya 4 na wala sipo kwenye group lolote na wala si mpweke