Kwanini Waziri Muhongo alinyamazia ubadhirifu TANESCO?

Inconvenient Truths

JF-Expert Member
Oct 21, 2014
439
354
Tanesco iko chini yake
na anajua kuwa wanafanya ubadhirifu

Kwa nini alinyamaza kimya mpaka kwenye hili sakata na bei na EWURA?

Magufuli ataendelea kumlinda huyu mpaka lini?
 
vipi mkuu bado anatumbua chunisi au keshaanza majipu?
 
Wewe unayejiita inconvenient-truths na wewe kumbe umetumwa na CHADEMA, sitegemei kuanza kumlaumu Muhongo wakati wewe nyumbani kwako ukiwa huna umeme badala ya kuwapigia TANESCO unaomba msaada kwa Muhongo akusaidie, kwani Muhongo yeye ni polisi? Kama watu wameiba kazi yake ni kutoa taarifa vyombo vya Dola na tunavyofahamu Muhongo sio Mtu wa kukurupuka kama nyie CHADEMA, wewe fiatilia huko TANESCO utakuta wanavyotumbiwa kimya kimya na Muhongo na wakati wakitumbuliwa kwa Wizi wa Mali za umma nyie nyie CHADEMA mnarudi kwenye hii mitandao na kuwatetea hao wahalifu eti wameonewa. Tunawajua nyie Ndio kazi mlio nayo. Hata wewe tunajua umafanya reterement ya fedha ulizipwa kuwatetea wezi na Baada ya kushindwa umeamua kumtaja Muhongo.
 
hivi huwezi kubeza hoja bila kuchokonoa masuala ya vyama vya siasa?
 
Hivi kila anayehoji ubadhilifu ni CHADEMA? Tujadili hoja sio kukumbilia uchama Tanzania ni yetu sote
 
Muhongo nae atatumbuliwa tu.Ni vigumu kuamini kama yeye alikuwa amesinzia usingizi wa samaki pono hadi alipozinduka siku mmoja au mbili kabla ya January mosi 2017.
 
Ivi kwani mramba pekee ndiye aliridhia maposho yalipwe? Yaezekana hakuafiki Ila wenzake wote walitaka iwehivyo. Mtu mmoja huwezi kupingana najambo lililoafikiwa na weengi. Nikama zilenyumba za serikali zilizouzwaga bei chee kwa kujuana...yawezekana waziri husika Wa enziile hakuafiki lakini wenzie wote waliamua hivyo So vikao vikapitisha
 
This is a pipe dream

The fact that aliachwa kwenye sakata la Dangote na misleading info alizotoa tells you kuwa Mkuu wa Kaya hawezi kumgusa
 
Ivi kwani mramba pekee ndiye aliridhia maposho yalipwe? Yaezekana hakuafiki Ila wenzake wote walitaka iwehivyo. Mtu mmoja huwezi kupingana najambo lililoafikiwa na weengi. Nikama zilenyumba za serikali zilizouzwaga bei chee kwa kujuana...yawezekana waziri husika Wa enziile hakuafiki lakini wenzie wote waliamua hivyo So vikao vikapitisha
Kwanza je management au board ilipitisha hizo pesa?

If so were they within the laws?

If so why Muhongo aseme kuwa ni mafisadi? Na kama kuna ufisadi does this mean kuwa yeye kama waziri anahusika nao indirectly?
 
Hivi kila anayehoji ubadhilifu ni CHADEMA? Tujadili hoja sio kukumbilia uchama Tanzania ni yetu sote
Tatizo Max anaendekeza hawa ma Trolls wa CCM na CHADEMA
Mimi nilishauri why asianzishe thread moja ya mamba ya CCM na nyingine CHADEMA kisha kila post ya hawa trolls inatumbukizwa mle
 
Back
Top Bottom