Wana Ukumbi,Kila mtanganyika anasikika akisema wazanzibari tunalalamika sana. Sijui ndio tunalalamika kweli au tunasema ukweli tu tu. Tanganyika ni ndugu zetu, tena ndugu wa kidamu, hili halifichiki. Lakini kuna baadhi ya mambo walioifanyia zanzibar yanakera sana na haya ndio yanayosema wao wakahisi tunalalamika.1. Kusema uwongo kwamba waarabu walikuwa wakiwatesa waafrika, hii ni kampeni chafu zilizotoka tanganyika. Kumbe watanganyika walikuwa wakiheshimiwa na kupewa kazi za serikali kama raia wengine. Mfano ninazo hapa nyaraka za mishahara ya Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe walipokuwa wizara ya Elimi ya Dola ya Zanzibar. Hawa ni watanganyika2. Kuanzisha siasa za machafuko zanzibar kuanzia 1957, na kufanya mauwazi ya wazanzibari wasio na hatia wapatao 17,000 kwa usiku mmoja. Mapinduzi ya zanzibar yalifanywa na watanganyika, tunao ushahidi kamili juu ya hili.3. Kumuuwa Rais wa zanzibar, ijapokuwa wao ndio waliomweka kwa maslahi yao na kuuufanya muungano ni wa kudumu, kumbe muungano ulikuwa wa miaka 10 tu. 4. Kuzidi kuingilia siasa za zanzibar kwa kutumia kichaka cha CCM5. Kutupora mali zetu zote, kutupora jina letu na kuifanya nchi yetu ni mkoa tu katika kichaka cha CCM.na mambo tani kwa tani wanayoifanyia znz yanawaudhi sana wazanzibari
Mimi nafikiri umekosa kitu cha kupost ukaona uanzishe hadithi uone itapokelewaje.Ukweli ni kuwa hakuna hadithi ya kweli,na ya kwako hailingani hata na ukweli!Hakikisha unasoma historia vzr na unakuwa na uelewa mpana wa mambo kabla hujaanzisha thread!Wana Ukumbi,Kila mtanganyika anasikika akisema wazanzibari tunalalamika sana. Sijui ndio tunalalamika kweli au tunasema ukweli tu tu. Tanganyika ni ndugu zetu, tena ndugu wa kidamu, hili halifichiki. Lakini kuna baadhi ya mambo walioifanyia zanzibar yanakera sana na haya ndio yanayosema wao wakahisi tunalalamika.1. Kusema uwongo kwamba waarabu walikuwa wakiwatesa waafrika, hii ni kampeni chafu zilizotoka tanganyika. Kumbe watanganyika walikuwa wakiheshimiwa na kupewa kazi za serikali kama raia wengine. Mfano ninazo hapa nyaraka za mishahara ya Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe walipokuwa wizara ya Elimi ya Dola ya Zanzibar. Hawa ni watanganyika2. Kuanzisha siasa za machafuko zanzibar kuanzia 1957, na kufanya mauwazi ya wazanzibari wasio na hatia wapatao 17,000 kwa usiku mmoja. Mapinduzi ya zanzibar yalifanywa na watanganyika, tunao ushahidi kamili juu ya hili.3. Kumuuwa Rais wa zanzibar, ijapokuwa wao ndio waliomweka kwa maslahi yao na kuuufanya muungano ni wa kudumu, kumbe muungano ulikuwa wa miaka 10 tu. 4. Kuzidi kuingilia siasa za zanzibar kwa kutumia kichaka cha CCM5. Kutupora mali zetu zote, kutupora jina letu na kuifanya nchi yetu ni mkoa tu katika kichaka cha CCM.na mambo tani kwa tani wanayoifanyia znz yanawaudhi sana wazanzibari
likud,
mimi siwachukii ccm wala siwachukii watanganyika. Mimi ni binadamu kama wao na siwezi kusema mimi ni bora zaidi au kujitia umbele wa aina yoyote kwani sote tutakufa na kwenda mbele ya haki kwa allah sw.
kwahivo usije ukadhani ninakuchukia wewe kwa sababu moja ua nyinge.
ninachokisema ni kwamba chuki walioipandikiza dhidi ya zanzibar ilikuwa ni sumu kubwa na mbaya sana, leo bado sana.
ali hassan na aboud jumbe walikuwa katika lile kundi liitwalo wazanzibara. Yaani watanganyika waliohamia zanizbar kwa muda mrefu. Fikra zao walipokuwa katika asp zilikuwa against na znz kama walivokuwa watanganyika wengine, kama vile nyerere.
Wana Ukumbi,Kila mtanganyika anasikika akisema wazanzibari tunalalamika sana. Sijui ndio tunalalamika kweli au tunasema ukweli tu tu. Tanganyika ni ndugu zetu, tena ndugu wa kidamu, hili halifichiki. Lakini kuna baadhi ya mambo walioifanyia zanzibar yanakera sana na haya ndio yanayosema wao wakahisi tunalalamika.1. Kusema uwongo kwamba waarabu walikuwa wakiwatesa waafrika, hii ni kampeni chafu zilizotoka tanganyika. Kumbe watanganyika walikuwa wakiheshimiwa na kupewa kazi za serikali kama raia wengine. Mfano ninazo hapa nyaraka za mishahara ya Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe walipokuwa wizara ya Elimi ya Dola ya Zanzibar. Hawa ni watanganyika2. Kuanzisha siasa za machafuko zanzibar kuanzia 1957, na kufanya mauwazi ya wazanzibari wasio na hatia wapatao 17,000 kwa usiku mmoja. Mapinduzi ya zanzibar yalifanywa na watanganyika, tunao ushahidi kamili juu ya hili.3. Kumuuwa Rais wa zanzibar, ijapokuwa wao ndio waliomweka kwa maslahi yao na kuuufanya muungano ni wa kudumu, kumbe muungano ulikuwa wa miaka 10 tu. 4. Kuzidi kuingilia siasa za zanzibar kwa kutumia kichaka cha CCM5. Kutupora mali zetu zote, kutupora jina letu na kuifanya nchi yetu ni mkoa tu katika kichaka cha CCM.na mambo tani kwa tani wanayoifanyia znz yanawaudhi sana wazanzibari
Ni yule ambaye angalau ana damu ya kiarabu!!!Utumwa mpaka wa fikra!!!
mkuu mzanzibar halisi ni yupi..??
maana kuna wengine wanadai karume sio mzanzibari halisi sababu wazazi wake sijui wanatokea msumbiji kama sikosei... Maelezo haya nayapata kutoka mzalendo kule kwenye comments za watu!.. Sasa naomba unambie weye mzanzibari halisi ni yupi..?!!
Sasa taratibu boss wangu
hebu jijibu swala lako mweyewe
yule Raj Kumar aliyeko tabora, mababu na mabii zake wamekwenda huko miaka 150 iliyopita. Wewe unamtambuwa kuwa ni nani? usipendelee na useme ukweli humwiti huyo Raj Kumar Muhindi?
nadhani nimekujibu swala lako
Ni yule ambaye angalau ana damu ya kiarabu!!!Utumwa mpaka wa fikra!!!