Wana Ukumbi,Kila mtanganyika anasikika akisema wazanzibari tunalalamika sana. Sijui ndio tunalalamika kweli au tunasema ukweli tu tu. Tanganyika ni ndugu zetu, tena ndugu wa kidamu, hili halifichiki. Lakini kuna baadhi ya mambo walioifanyia zanzibar yanakera sana na haya ndio yanayosema wao wakahisi tunalalamika.1. Kusema uwongo kwamba waarabu walikuwa wakiwatesa waafrika, hii ni kampeni chafu zilizotoka tanganyika. Kumbe watanganyika walikuwa wakiheshimiwa na kupewa kazi za serikali kama raia wengine. Mfano ninazo hapa nyaraka za mishahara ya Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe walipokuwa wizara ya Elimi ya Dola ya Zanzibar. Hawa ni watanganyika2. Kuanzisha siasa za machafuko zanzibar kuanzia 1957, na kufanya mauwazi ya wazanzibari wasio na hatia wapatao 17,000 kwa usiku mmoja. Mapinduzi ya zanzibar yalifanywa na watanganyika, tunao ushahidi kamili juu ya hili.3. Kumuuwa Rais wa zanzibar, ijapokuwa wao ndio waliomweka kwa maslahi yao na kuuufanya muungano ni wa kudumu, kumbe muungano ulikuwa wa miaka 10 tu. 4. Kuzidi kuingilia siasa za zanzibar kwa kutumia kichaka cha CCM5. Kutupora mali zetu zote, kutupora jina letu na kuifanya nchi yetu ni mkoa tu katika kichaka cha CCM.na mambo tani kwa tani wanayoifanyia znz yanawaudhi sana wazanzibari
Bobwe
Nakubali maneno yako
hawa watanganyika ni maprofesa tai tu, kwengine kweupe.
Bin Faza Tippu Tip alikuwa akifanya baishara gani..? hao watumwa walikuwa na rangi gani , wale watumwa alikuwa akiwaeka hoteli kula vizuri na kulala vizuri bila kuwafunga cheni shingoni..? hebu acha maneno yako hayo... wafrica waliteswa sana katika biashara za utumwa hapo znz mpaka leo makumbusho yapo
Mkuu usisahau kuwa utawala wa zanzibar "Zanzibar empire" ulianzia kismayu somali,kufikia kilwa Tanganyika kwa mantiki hiyo basi ujue kuwa mtu wa kilwa,mombasa,baadhi ya wasomali,wagunya walikuwa vile vile mzanzibari,vile vile ukumbuke kuwa kabla ya warabu kuweka makao makuu ya Unguja, makao makuu yalikuwa Kilwa
Sasa tuje kwenye nani hasa wazanzibar,ukitizama historia ya marekani ukajiuliza nani wamarekani utaona kuwa wamerekani ni machanganyiko wa makabila yote ya ulaya,wairish,waingereza,waspanish,wareno nk,wamerekani walifanya mapinduzi kumuondoa mwengereza.
Historia ya zanzibar imejengwa hivyo hivyo,makabila makubwa ambayo wanajiita wazanzibar ni makabila ya pwani yaani wazaramo,wazingua,wasegeju,wabondei nk na utakuta makabila kama Wanyamwezi na Wamanyema wao walikuja wakati wautmwa.
Mkabila haya baada ya miaka mingi na kuchanganyika na watu mbali mbali kama vile wahindi,wapashia,wareno ndio ukapatikana utamaduni na mila za zanzibar au uzanzibari,hawa waswahili wa zanzibar wana tamaduni zao,vyakula vyao,musiki wao,mila zao,lugha yao nk
kabila kama wamanyema wao hasa ndio waliokuwa wamechanganya na koo za kisultani wa zanzibar na ndio hata kama utangalia picha za masultani wa Zanzibar walikuwa sio warabu kamili walikuwa ni mashombe ya kiarabu
Huo ndio ukweli,sasa utakuta kuwa kuna baadhi ya watu walihamia zanzibar au waliwenda zanzibar kwa sababu zao wenyewe hao ndio wanaitwa wageni,kama vile Ali hassan Mwinyi,inasemekana hata Karume sr hakuzaliwa Zanzibar,
wazanzibar walikuwa sio wabaguzi na ndio maana utakuta watu kama kina Karume,Ali hassan Mwinyi,aboud Jumbe mwinyi walifika kuchukua madaraka makubwa tu wakati wazanzibari wakijua fika kuwa hawa watu walikuwa walikuwa wageni
Usisahau kuwa warabu waliitwa na wazanzibari ili waje kuwasaidia kuwaondoa wareno Zanzibar,Cha kujiuliza kabla ya hawa warabu kuitwa kuja kuroa msaada zanzibar,wazanibari walikuwa watu wa aina gani?au nani kawaita warabu waje kusaidia zanzibar....
Hii nikusema kuwa uzanzibari na zanzibar ilikuwepo kabla ya warabu
Wana Ukumbi,Kila mtanganyika anasikika akisema wazanzibari tunalalamika sana. Sijui ndio tunalalamika kweli au tunasema ukweli tu tu. Tanganyika ni ndugu zetu, tena ndugu wa kidamu, hili halifichiki. Lakini kuna baadhi ya mambo walioifanyia zanzibar yanakera sana na haya ndio yanayosema wao wakahisi tunalalamika.1. Kusema uwongo kwamba waarabu walikuwa wakiwatesa waafrika, hii ni kampeni chafu zilizotoka tanganyika. Kumbe watanganyika walikuwa wakiheshimiwa na kupewa kazi za serikali kama raia wengine. Mfano ninazo hapa nyaraka za mishahara ya Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe walipokuwa wizara ya Elimi ya Dola ya Zanzibar. Hawa ni watanganyika2. Kuanzisha siasa za machafuko zanzibar kuanzia 1957, na kufanya mauwazi ya wazanzibari wasio na hatia wapatao 17,000 kwa usiku mmoja. Mapinduzi ya zanzibar yalifanywa na watanganyika, tunao ushahidi kamili juu ya hili.3. Kumuuwa Rais wa zanzibar, ijapokuwa wao ndio waliomweka kwa maslahi yao na kuuufanya muungano ni wa kudumu, kumbe muungano ulikuwa wa miaka 10 tu. 4. Kuzidi kuingilia siasa za zanzibar kwa kutumia kichaka cha CCM5. Kutupora mali zetu zote, kutupora jina letu na kuifanya nchi yetu ni mkoa tu katika kichaka cha CCM.na mambo tani kwa tani wanayoifanyia znz yanawaudhi sana wazanzibari
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere and Sheikh Abeid Amani Karume exchanging theArticles of the Union in 1964.The Articles of the Union was ratified by Tanganyika's Parliament and the ZanzibarRevolutionary Council on 26 April, 1964. On 27 April, 1964, the leaders of the twocountries exchanged legal documents of the Union at the Karimjee Hall in Dar esSalaam. The Articles of the Union declared the formation of the United Republic inSection 4 as follows:"The Republic of Tanganyika and the Peoples' Republic of Zanzibar shall be united inone Sovereign Republic to form the Republic of Tanganyika and Zanzibar"On 28 October, 1964, the Republic of Tanganyika and Zanzibar was renamed asUnited Republic of Tanzania through the United Republic (Declaration of Name) Actnumber 61 of 1964.This is a Union of a two tire system of Governments; the Government of the UnitedRepublic of Tanzania, which is Sovereignty to deal with all Union matters and non-Union matters in Mainland Tanzania as stipulated in the Constitution of the UnitedRepublic of Tanzania of 1977 (As Amended) and the Revolutionary GovernmentZanzibar, which deals with non-Union matters in Tanzania Zanzibar.Reasons for the union of Tanganyika and Zanzibar were the following:1. The people of Tanganyika and Zanzibar have historically enjoyed very closerelations in various areas, including family ties, trade, culture, language andpolitical interactions.2. A strong spirit of African unity has prevailed, especially with the formation of theEast African Community as a building block for the establishment of theproposed United States of Africa. Even before Tanganyika achieved itsindependence, Mwalimu Nyerere and other leaders in East Africa who werefighting for the liberation of the continent from colonialists were determined toachieve African unity.
Kweli nyama ya mtu mbaya...umeanza kuwakana Hadi Marais wenu?kwa mujibu wa katika ya zamani ya zanzibar mgeni anaeweza kupata uraia wa zanzibar ni mjukuu wa mgeni alofika na kuishi zanizbar. yaani kama wewe umehamia zanizbr basi uowe hapo na uzae na mtoto wako aowe hapo na azae huyo mjukuu wako ndie anayepata uraia wa moja kwa moja.
Mzee karume hakuzaliwa zanzibar, wengine wanasema ametokea Malawi. Allahuyalaam
Lakini kwa mujibu wa katika ya znz yeye hakustahiki urai wala watoto wake.
Hakuna binadamu mwenye ardhi,ardhi yote ni mali ya muumbaji mumngu,na hao binadamu kawaumba yeye,kubaguana hakutakwisha,ukijita Mzanzibari,Ukijiita Mtanzania,vyovyote utakavyojiita utabaki,ni binadamu,una miguu miwili,mikono miwili,macho mawili,maskio mawili nk,acheni kubaguawana,mwisho wote wa binadabu,ni kifo,na kuzikwa,hata uwe ni mzanzibari,mtanganyika,mtanzania nk.Mkuu usisahau kuwa utawala wa zanzibar "Zanzibar empire" ulianzia kismayu somali,kufikia kilwa Tanganyika kwa mantiki hiyo basi ujue kuwa mtu wa kilwa,mombasa,baadhi ya wasomali,wagunya walikuwa vile vile mzanzibari,vile vile ukumbuke kuwa kabla ya warabu kuweka makao makuu ya Unguja, makao makuu yalikuwa Kilwa
Sasa tuje kwenye nani hasa wazanzibar,ukitizama historia ya marekani ukajiuliza nani wamarekani utaona kuwa wamerekani ni machanganyiko wa makabila yote ya ulaya,wairish,waingereza,waspanish,wareno nk,wamerekani walifanya mapinduzi kumuondoa mwengereza.
Historia ya zanzibar imejengwa hivyo hivyo,makabila makubwa ambayo wanajiita wazanzibar ni makabila ya pwani yaani wazaramo,wazingua,wasegeju,wabondei nk na utakuta makabila kama Wanyamwezi na Wamanyema wao walikuja wakati wautmwa.
Mkabila haya baada ya miaka mingi na kuchanganyika na watu mbali mbali kama vile wahindi,wapashia,wareno ndio ukapatikana utamaduni na mila za zanzibar au uzanzibari,hawa waswahili wa zanzibar wana tamaduni zao,vyakula vyao,musiki wao,mila zao,lugha yao nk
kabila kama wamanyema wao hasa ndio waliokuwa wamechanganya na koo za kisultani wa zanzibar na ndio hata kama utangalia picha za masultani wa Zanzibar walikuwa sio warabu kamili walikuwa ni mashombe ya kiarabu
Huo ndio ukweli,sasa utakuta kuwa kuna baadhi ya watu walihamia zanzibar au waliwenda zanzibar kwa sababu zao wenyewe hao ndio wanaitwa wageni,kama vile Ali hassan Mwinyi,inasemekana hata Karume sr hakuzaliwa Zanzibar,
wazanzibar walikuwa sio wabaguzi na ndio maana utakuta watu kama kina Karume,Ali hassan Mwinyi,aboud Jumbe mwinyi walifika kuchukua madaraka makubwa tu wakati wazanzibari wakijua fika kuwa hawa watu walikuwa walikuwa wageni
Usisahau kuwa warabu waliitwa na wazanzibari ili waje kuwasaidia kuwaondoa wareno Zanzibar,Cha kujiuliza kabla ya hawa warabu kuitwa kuja kuroa msaada zanzibar,wazanibari walikuwa watu wa aina gani?au nani kawaita warabu waje kusaidia zanzibar....
Hii nikusema kuwa uzanzibari na zanzibar ilikuwepo kabla ya warabu
Bobwe
Nakubali maneno yako
hawa watanganyika ni maprofesa tai tu, kwengine kweupe.
Hakuna binadamu mwenye ardhi,ardhi yote ni mali ya muumbaji mumngu,na hao binadamu kawaumba yeye,kubaguana hakutakwisha,ukijita Mzanzibari,Ukijiita Mtanzania,vyovyote utakavyojiita utabaki,ni binadamu,una miguu miwili,mikono miwili,macho mawili,maskio mawili nk,acheni kubaguawana,mwisho wote wa binadabu,ni kifo,na kuzikwa,hata uwe ni mzanzibari,mtanganyika,mtanzania nk.