M Mathiasyusuph Member Joined Jul 13, 2021 Posts 53 Reaction score 68 Jul 14, 2021 #1 Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU? Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu. Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.
Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU? Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu. Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,988 Reaction score 21,645 Jul 14, 2021 #2 Mathiasyusuph said: Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU? Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu. Hizi tabia zimekidhili sana ktk jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike. Click to expand... Ukiona unachukiwa kwa mafanikio,we kaza buti,maana mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa kwa mawe na virungu!Kama utataka kupendwa utakaa sana.
Mathiasyusuph said: Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU? Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu. Hizi tabia zimekidhili sana ktk jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike. Click to expand... Ukiona unachukiwa kwa mafanikio,we kaza buti,maana mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa kwa mawe na virungu!Kama utataka kupendwa utakaa sana.
M Mathiasyusuph Member Joined Jul 13, 2021 Posts 53 Reaction score 68 Jul 14, 2021 Thread starter #3 Oswald Daudi Mwakibete said: Ukiona unachukiwa kwa mafanikio,we kaza buti,maana mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa kwa mawe na virungu!Kama utataka kupendwa utakaa sana. Click to expand... Yaani mpaka MTU anaenda kwa mganga ili akuangamize
Oswald Daudi Mwakibete said: Ukiona unachukiwa kwa mafanikio,we kaza buti,maana mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa kwa mawe na virungu!Kama utataka kupendwa utakaa sana. Click to expand... Yaani mpaka MTU anaenda kwa mganga ili akuangamize
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,816 Reaction score 40,582 Jul 14, 2021 #4 Roho mbaya tu na roho mbaya huwa haina sababu za msingi.
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,563 Reaction score 15,966 Jul 14, 2021 #5 Mathiasyusuph said: Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU? Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu. Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike. Click to expand... Unajua naona kama mimi kuanzia juzi nilipotoka kwenye mbuga nimevuna magunia mawili ya mpunga lakini akina mama zakaria hawanisalimii tena na wamewakataza akina zakaria kuja hapa kwetu sijui sasa itakuaje
Mathiasyusuph said: Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU? Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu. Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike. Click to expand... Unajua naona kama mimi kuanzia juzi nilipotoka kwenye mbuga nimevuna magunia mawili ya mpunga lakini akina mama zakaria hawanisalimii tena na wamewakataza akina zakaria kuja hapa kwetu sijui sasa itakuaje
Mwizukulu jilala JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 1,094 Reaction score 942 Jul 14, 2021 #6 Wengi wao huwa ni watu waliokata tamaa ya maisha..
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,327 Reaction score 13,400 Jul 14, 2021 #7 Mathiasyusuph said: Yaani mpaka MTU anaenda kwa mganga ili akuangamize Click to expand... Hapo ndio maisha yanaponoga sasa
Mathiasyusuph said: Yaani mpaka MTU anaenda kwa mganga ili akuangamize Click to expand... Hapo ndio maisha yanaponoga sasa
Zegota JF-Expert Member Joined Jun 5, 2020 Posts 344 Reaction score 725 Aug 14, 2024 #8 kichomiz said: Hapo ndio maisha yanaponoga sasa Click to expand... Haya mambo yapo sana tena wengine unakuta ndugu wa damu
kichomiz said: Hapo ndio maisha yanaponoga sasa Click to expand... Haya mambo yapo sana tena wengine unakuta ndugu wa damu
M Mightyarmy JF-Expert Member Joined Oct 10, 2023 Posts 316 Reaction score 460 Aug 14, 2024 #9 Mwanadamu kwa asili hasa sisi waafrika tumejaa mioyo yenye wivu. Inwezekana hata wewe inone point or another umemuonea mtu wivu.
Mwanadamu kwa asili hasa sisi waafrika tumejaa mioyo yenye wivu. Inwezekana hata wewe inone point or another umemuonea mtu wivu.