Kwanini watu wanapenda simu za Samsung?

Mie imeniharibikia hata sijui shida umezima tu sasa nimeanguka Tecno 🙄, japo Huawei inanibeba Sana inanitunzia vitu kibao
 
Nina aqous sense 6s aisee ni hatari
Kioo balaa very smooth
Ni 5g
Aluminum body nmehama toka Samsung A14 nikamenya hii kifupi jamaa hawa wajapan wana simu zenye tech kubwa sn sema ni wageni hapa bongo nataka nimenye ile R6
Kifupi kwa tech iliyopo kwenye hii sense 6s ingekuwa ni samsung bila laki 5 hupati simu
 
Kwa wale wanaopenda simu ndogo halafu nyepesi lakini na nzuri nawashauri jaribu kutumia Samsung S 24 plain hutojutia. Haka kasimu ni kazuri aisee
 
Natumia XIAOMI 13 ULTRA ila nataka kusogelea VIVO X200 ULTRA nione balaa lake

Samsung niliwahi kuwatumia wapo vizuri, undisputed
 
Napenda Samsung hapa katikati kuna Wahuni waliniingiza Google Pixel nilichokutana nacho sirudii tena kule kubababek bora nibakie team Samsung
Ulikutana na shida gani kwenye Google Pixel
 
Natumia Redmi Xiomi 10c toka 2022 ila changamoto yake kubwa ni kioo kuchezacheza na kujibonyeza bila kuguswa, hii hali inanikera sana hadi nimeichukia hii kampuni...unaweza mpigia mtu ukashangaa imeanza kurecord mazungumzo yenyewe ,mwanzon niliipenda hii kampuni nikasema nitanunua redmi 13 au 15 ila nimeghairi
 
Mkuu Samsung display yao na ONE UI inafanya Samsung iwe UNIQUE.
 
Since ilipotoka note 20 ultra
Wakat huo ya moto naitumia mpaka sahvi
Kuna mwamba aliniletea kutoka Korea aise
Na bado nmeridhika nayo

Ova
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…