Kwanini watu wanapenda sifa/ majina mabaya?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,716
Bad boys
Dog Man X (DMX)
Mr. Devil
Young Killer
Bad man
Shetani
Chizi maarifa

Angalia ID za watu humu utashangaa why NEGATIVITY.

NYUZI ZA HOVYO NDIO ZINACHANGAMKIWA

[emoji34] [emoji35][emoji35]

Kuna kundi humu linaaminisha watu HAKUNA MUNGU!

Ni kwamba shetani ametamalaki kiasi hiki?

Kuna sababu ya kuzaa ili watoto waende motoni? Maana hata makanisa yamejaa MANABII wa UONGO.

MUNGU TUSAIDIE
 
jina linaendana na mtu anavyotaka awepo,, kwani hujawai kuona mtu role model wake n muhusika flani mbya even kwny movies
 
Mnataka tutumie majina halisi ili mtukamate kilahisi, tushajua dhamira yenu, acheni watu wajiachie na majina wayapendayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…