Kwanini watu hutumia uchawi kuboresha mapenzi?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,144
Reaction score
166,082
Hivi inawezekana kwa "Wapenzi" Kuachana
wakiwa bado Wanapendana? na Je ni
kwanini Watu hutumia "Imani za Kishirikina"
kwenye Mapenzi?!
 
*-+=
mwanamke autegeaye uchawi hajui mapenzi
 
Unajua unaweza ukawa umefall in love kwa mwanaume kupita kiasi lakini yeye hakupendi, ili ufaidi lile penzi ni vyema kutumia njia mbadala kama kuloga, au kutumia pesa.
 
Inaezekana ndio. Unaeza kua unampenda mwenzio afu akawa na labda tabia ambazo huzipendi na ukiangalia hawezi kubadilika, kuepusha msongamano unaamua kumwacha huku bado unampenda.
 
NI hofu ya kuogopa kuachwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…