Moja ya sababu ya kuoa au kuolewa ni upweke. Wengi tuna amini ukioa unapata mfariji na msaidizi. Imagine umeo afu kunamtu anakwambia isihofu baby yataisha. Ha ha its so lovely. Ila tu utainjoi kama umepata mtu anayekupenda kwa moyo moto
Ndiomaana nimesema ukimpata anayekupenda kwelikwa nn huko ndoani ndo kumekua mstu wa kila zinaa, wanaume wanachepuka na wake za watu na mabinti ambao pia hawajaolewa wanaurubuniwa, wanawake pia wanachepuka na waume za watu na vijana wadogowadogo sasa hiyo enjoymen ya kwenye ndoa huwa imeishia wapi bro
Wengi hapa wanamumunya maneno tuu. Kiukweli hakuna sababu yoyote ya msingi ya watu kuoana. Ni utaratibu tu ambao jamii zimeendelea kurithishana lakini ukiangalia kwa undani, hamna chochote unachopata ndani ya ndoa ambacho usingeweza kukipata bila ya ndoa.. Wapo mamilioni ya watu hawajaoa/olewa na wana watoto, wana maisha yao mazuri tuu na wanapata sex wakati wowote wakihitaji.
unapokwama kingono au?kuwa huru na uhakika wa mwenzio unapokwama wasi wasi unakua huna tena!
Huyo huyo Paulo akasema kama huwezi kujizuia bora uoe kuliko kuwaka tamaamtume Paulo anatuambia "ikiwezekana muwe kama mimi" vilevile kuna matoashi je kwa nn kuoa/kuolewa
nimekupataBinafs naweza sema kuoa au kuolewa ni automatic feelings /natural,baina y mme/ke,
Mahusiano yanapokua matamu zaid wawil nyie mnatamani mfike mbli zaid,kama mlikua mnabanwa home muanzw kua huru,mpange maish yenu etc .Hyo ndio sbb watu wanaamua kuoa /kuolewa
Unajua unapokuwa nae ndani kdogo gharama huwa znapungua kulko akiwa mbali,afu pia unaepusha magonjwa kwan akiwa mbali anaweza chepuka hovyo hovyokwani kuna mabachelor wanapi wapunguzao genye bila kuoa hata wanaopunuza nje ya ndoa zao
unaweza usioe wala kuolewa na ukakipata vile vileUnajua nini?
Ukishaoa una uhakika wa kupata kimoja Dailee😡😕
well"ningependa watu wote wawe kama mimi (paulo) single. lakini kutoka na matamanio ya miili yenu basi na kila mtu aoe mke"...huo ni waraka wa paulo. so if this is true.
TUNAOA KWA SABABU MIILI YETU INA TAMAA SO TUNATAKA KILE KITU TUKIPATE ANYTIME TUTAKAPOJISIKIA....NDO MAANA INAITWA "NDOA" NA LILE LINAITWA "TENDO LA NDOA"......AND THAT'S RSHIP IS EATING AND SEXING NOTHING MORE......HAYO MENGINE NI MBWEMBWE TU.