Kuoa au kuolewa ni mpango wa Mungu, ndoa ni paradiso ambayo Mungu alimwandalia mwanadamu
Lakini Shetani kaigeuza kuwa jehanamu, waliomo wanatamani kutoka, walio nje wanatamani kuingia. KARIBU JEHANAMU UPATE JOTO[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Tunaomba tujue kwanza,ww kiimani umesimamia wapWana jf naomba kujuzwa sababu hasa inayotufanya kuoa/kuolewa au kwa wale walio kwenye ndoa kwa nini umeoa/kuolewa?, mimi ni kijana mwenzenu ambaye nipo katika mchakato wa kutafuta mwenza, lakini kutokana na mabandiko kadha wakadha hapa jf inaonesha ndani ya ndoa kuna misigishano mingi mno inayopelekea watu kuchit, kulea watoto wasio wao pia wakati mwingine na mengine mengi sasa ule upendo naousikia huwa umeenda wapi?
Kwa hali ya kawaida mtu unaweza fikiri nina matatizo kuleta uzi huu ila kuna watu wameoa/kuolewa wasijue kwa nini walifikia maamuzi hayo? (kuoa/kuolewa) kama umeoa/kuolewa naomba sababu ya:-
i) Kwanini umeoa? Kwanini unafikiri kuoa?
ii) Kwanini umeolewa? Kwanini unafikiri kuolewa?
Tafadhali fikiri kabla ya kujibu then unisaidie kwa namna ya kunijena na siyo kunibomoa ili vijana wengine wafaidike pia.
sasa mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume? hao wengine hicho kitu cha asili watakipataje?hayo ni mambo ya asili ndo maana MUNGU alipomuumba ADAM akaona ADAM atakuwa ajakamilika bila kupata msaidizi hivyo MUNGU alimuumba HAWA ili asaidiane majukumu na ADAM...hivyo mtu anaoa au kuolewa ili tu apate mwenza wa kusaidiana nae katika maisha.
just that?kuoa au kuolewa ni hatua moja kubwa na mhimu ktk maisha!
kwann hizo feelings /natural,baina y mme/ke, huja pia kwa wake na waume za watu?Binafs naweza sema kuoa au kuolewa ni automatic feelings /natural,baina y mme/ke,
Mahusiano yanapokua matamu zaid wawil nyie mnatamani mfike mbli zaid,kama mlikua mnabanwa home muanzw kua huru,mpange maish yenu etc .Hyo ndio sbb watu wanaamua kuoa /kuolewa