Kwanini watazamaji wengi wa filamu zenye maudhui ya mapenzi (Drama Series) wamefeli sana kwenye sekta hiyo?

Habari zenu wakuu.

Nimejaribu kuwaza tu kwa sauti japo mawazo yangu yanaweza kuwa sio sheria .

Kuna wakati naangalia kulia na kushoto naona kuna idadi kubwa ya watu wanapenda kuangalia sana zile cinema au movie zenye maudhui ya mapenzi maarufu kama drama series nyingi zikiwa zimetengenezwa katika nchi za korea, Japan, China, Philippines na India .

Lakini hoja yangu ni kuwa kama lengo la filamu hizo ni kueleimsha jamii .je wanawaelimisha kwa staili gani na wamejaribu kuangalia kuwa hizo movie zimewasaidia kwa asilimia ngapi katika eneo la mapenzi.?

Mfano wa kweli ni Dada zangu binafsi ambao wote wako nyumbani na watoto wao bila ya kuwa na maelewano mazuri na waliowazalisha ....namaanisha their single mothers .....
Sina imani hizi series zinewasaidia maana wamekuwa wakiziangalia kwa muda wa miaka zaidi ya 10.
Labda ningesema zimewasaidia kama wangekuwa kwenye ndoa na mahusiano mazuri na wapenzi wao.
Kwa ufahamu wangu ni kuwa kitendo cha kutazama hizo movie kunakufanya upate technic nyingi za mapenzi na ujue jinsi ya kuinteract kwenye mapenzi

Pia nimechukua muda kuangalia walio wengi hawana mahusiano mazuri na wapenzi wao
Sasa huwa nashindwa kuelewa wanakwama wapi.

Vizazi vya nyuma ambavyo havikuwa na teknolojia ya upatikanaji wa filamu hizi kirahisi hali ya mapenzi ilikuwa ya heshima sana hata kufikia wakati wapenzi walikuwa wanaweza kutunziana heshima na kufika miaka mingi wakiwa katika ndoa.

Je watengenezaji wa hizi filamu huwa lengo lao ni kusaidia jamii kwa staili ipi?
kuangalia movie za mapenzi mru ni sawa na kuagalia movie za ngono xxx.

wale wanaoigiza hamna uhalisia wowote ule,japokuwa inaweza kupendeza.

hata wale wacheza filamuza ngono nao wanaigiza tu hamna uhalisia.

ni hatari sana kuiga maigizo kisha uyatumie katika uhalisia.
ukitaka kuapply uhalisia basi lazima ujifunze kutoka katika kitu halisia.

mapenzi halisi ni yale ya baba na mama zetu tunayoyaona mitaani kila siku. asikufundushe mtu mapenzi.

kuna dada kaona kwenye movie kwamba mume akiwa mkimya muulizetatizo usimuache mpaka akuambie hayo ndo mapenzi.
kumbe wanaume hatutakagi usumbufu wakati mwingine tunataka kutulia peke yetu tu relax sasa akitokea mtu anataka umuambietatizo anakuwa anakera na kule kaambiwa ndo mapenzi.

movie za mapenzi ni hatari kwa afya ya ubongo kama ilivyo kwa muvi za ngono.

watazamaji wanapeleka kwenye uhalisia maigizo wanayoyaona na matokeo yake ndohaya watu wanakesha kutafuta dawa ya kwenda lisaa limoja kwenye tendo(mfano tu)
 
Eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom