Kwanini watawala wetu wanalazimisha amani wakati hawanayo hiyo amani?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
1765759867668.png

Ukimsikiliza mkuu wa machawa mkumbo madelu akihimiza amani, unashangaa.
Kunawezekana kuwa na amani bila haki?
Je, amani inalazimishwa au inatokana na aina ya maisha ya wahusika?
Je, hawa wanolazimisha amani wanayo amani?
Wanaijua amani bila kuijua haki?
Je, amani ni nini na inasababishwa na nini?
Je, Tanzania kuna amani ya kweli au amani ya imani kama siyo ya kulazimisha?
Je, kwa mazingira yetu yaliyojaa na kutawaliwa na ubinafsi, ufisi, na ufisadi, kunaweza kuwapo amani ya kweli?
Je, kama taifa, tunataka amani au haki kwanza?
Je, kwanini watawala wa. hovyo na lazimishi wanahubiri amani na kupuuza haki?
Je, hii amani ya imani na ya pwagu na pwaguzi ya kulazimisha itadumu bila. haki?
Kipi kianze kwanza kati ya haki na amani?
Najiwazia kimya kimya.
 
Kama Gen z wangekuwa hawataki amani na kutaka macjafuko kwa nchini basi nadhani wangetumia dini kuleta machafuko, maana masheikh ndio walikuwa wanataka kutupeleka huko ila Gen z wakakwepa hilo suala.
 
View attachment 3515666
Ukimsikiliza mkuu wa machawa mkumbo madelu akihimiza amani, unashangaa.
Kunawezekana kuwa na amani bila haki?
Je, amani inalazimishwa au inatokana na aina ya maisha ya wahusika?
Je, hawa wanolazimisha amani wanayo amani?
Wanaijua amani bila kuijua haki?
Je, amani ni nini na inasababishwa na nini?
Je, Tanzania kuna amani ya kweli au amani ya imani kama siyo ya kulazimisha?
Je, kwa mazingira yetu yaliyojaa na kutawaliwa na ubinafsi, ufisi, na ufisadi, kunaweza kuwapo amani ya kweli?
Je, kama taifa, tunataka amani au haki kwanza?
Je, kwanini watawala wa. hovyo na lazimishi wanahubiri amani na kupuuza haki?
Je, hii amani ya imani na ya pwagu na pwaguzi ya kulazimisha itadumu bila. haki?
Kipi kianze kwanza kati ya haki na amani?
Najiwazia kimya kimya.
Amani IPO mkuu
 
Back
Top Bottom