Kwanini watanzania wengi waongo?

Kwanini watanzania wengi waongo?

SiSi'eM imetufundisha uongo.. hasa hasa yule msaniiii wa bagamoyo..

Muongo na mnafiki hatari
 
Ni kama Chadema waliotuongopea kwamba Lowasa fisadi kumbe walikuwa wanapenda ajiunge kwao
 
Kudanganya ni tabia inayoonyesha kwamba you lack seriousness.Mimi huwa nasema ni tabia ya kiswahili.Ujinga na upumbavu mara nyingi hayo ndio matunda yake.Utafiti wa kitaalam umeonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya tisa kutoka mwisho kwa kuwa na wajinga wengi.So your observation is correct.
Mtanzania ukikutana nae lazima aongope hata sehemu isiyohitaji uongo wanaongopa.

Kwanini watanzania waongo sana?
 
alafu baadhi ya watanzania wana tabiambaya sana UKIMUULIZA SWALI ANAKUJIBU KWA SWALI.

MFANO:

Juma: we asha unafanya nini hapo?
Asha : kwani we unaona nafanyaje?

mwengine:

Juma: Ashaaaa naona sasa unakula eti eeh?

Asha: hapana Najamba Mkuu kwani vepee?
 
Back
Top Bottom