kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
Mtanzania ukikutana nae lazima aongope hata sehemu isiyohitaji uongo wanaongopa.
Kwanini watanzania waongo sana?
Kwanini watanzania waongo sana?
Daaah kiswahili kinakua kila siku.....niliyeko bush huku napitwa eeh?Mtanzania ukikutana nae lazima ahongope hata sehem isiyohitaji uhongo wanahongopa. kwanini watanzania wahongo sana?
Daaah kiswahili kinakua kila siku.....niliyeko bush huku napitwa eeh?
Mtanzania ukikutana nae lazima aongope hata sehemu isiyohitaji uongo wanaongopa.
Kwanini watanzania waongo sana?
Sasa Kama Hata Tu Mimba Zetu Nyingi Zinapatikana Baada Ya Mama Zetu Wengi KUPIGWA CHANGA LA MACHO a.k.a Kudanganywa au Kuongopewa Na Baba Zetu Wewe Unadhani Sisi Tunaozaliwa Tutakuwa Ktk Hali Gani? Watanzania Na Uwongo Ni Kama Marehemu Na Mortuary.
uongo unakera sana ndugu.Wewe kijana mkimya nani kakutuma uongee leo? tena ni post ya kwanza kabisa tangu uzaliwe. Naona umeamua kuacha ukimya!
Daaah kiswahili kinakua kila siku.....niliyeko bush huku napitwa eeh?
mimi pia nilishashindwa kuacha uongo
Hata mie naonaunapitwa sana
Halafu nikishasoma hivyo pumzi saa hiyo hiyo inakatika........yaani mfumo wa upumuaje unapata hitilafu..........