Kwanini Watanzania wengi hawatumii mtandao wa LinkedIn?

Kwanini Watanzania wengi hawatumii mtandao wa LinkedIn?

Usinilishe maneno mkuu, hakuna mahala ambapo nimesema mtandao wa jamiiforums ni wa kindezi bali nimesema humu kila mtu kavimba, boss yeye, billionaire yeye, msomi yeye, mla bata yeye yaaani fix za kutosha ila sijauponda kuwa ni wa kindezi, rudia kusoma tena
Humu ndani ni kama tuko darasani mkuu, kuna watu wana akili za kila aina.

Hayo mambo uliyoyataja hayakwepeki humu lazima yawepo na hiyo ndio Jamii.
 
Pumbaaaaaavu sana wewe mtoa mada kaa pembeni tuachie jf yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mwisho wako wa kufikiri hapo, sikulaumu lakini...kutukana ndio suluhisho??? i thought utakuja na hoja madhubuti za kupinga ila umekuja na matusi means unazidi kuniaminisha kuwa huu mtandao umeingiliwa na primary school kids kama Facebook
 
Nadhani ndomana mtandao unaitwa jamii forums
"In a society" au jamii lazima kuna watu wa kila aina ,na kila profession..
Humu kuna doctors utawakuta zaidi majukwaa ya afya ,kuna wanahabari ,kuna wahandisi,computer scientists,

Pia humu wapo vijana wa secondary ,wavyuo vikuu

Pia kuna RAIA ambao hawakufanikiwa kusoma sana may be anakuja kupata taarifa humu,kuburudika na kuelimika pia

Kwakujua umuhimu wa wambea wambea katika jamii ,forum hii pia INA majukwaa ya hoja mchanganyiko na burudani zingine

Pia humu kuna wanasport wanamajukwaa yao ya michezo kwahio mkuu jamii forums ni mtandao uliokamilika hakika hii ni jamii humu so ukiamua kuingia humu uwe radhi kuwakuta watu wa kila aina,kila tabia,kila rangi,kila dini,kila kabila ,na wenye IQ levels tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakuwa na bifu binafsi na watu. haunijui sikujui kwanini nikikwambia mimi ni TAJIRI UNIBISHIE?
Au wewe ukiniambia ni TAJIRI kwanini nikubishie WAKATI SIKUJUI?
maisha ya mtu humu yasikuumize kichwa
Usinilishe maneno mkuu, hakuna mahala ambapo nimesema mtandao wa jamiiforums ni wa kindezi bali nimesema humu kila mtu kavimba, boss yeye, billionaire yeye, msomi yeye, mla bata yeye yaaani fix za kutosha ila sijauponda kuwa ni wa kindezi, rudia kusoma tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo linkedin , kule watu wanatumia ID zao halisi na mara nyingi hutumiwa na watafuta kazi maana kule ni kama unaandika CV yako nzima na unaweza apply jobs bila hata kutuma Cv yaani profile yako inatosha..

Kule watu ni kama wapo ofisini hivyo wanailinda heshima yao incase kama mtu atapitia profile yake...By the way hata mimi one time umenisaidia maana kimtaani kuongea na boss wa kampuni ni ngumu ila kule mnachat na kufanya discussion easily.
Huu una userious kiasi kama twitter

Jamii forum ni kama kijiwe, watu kutumia ID fake inawafanya wawe huru yaani hata vile vitabia vya sirini mtu anaviachia.. Kwa experience yangu, Jf watu wengi wana elimu na maisha yao yaani na wengine wanaigiza kama machizi ila they are educated and have money.. Nilikutana na mtu humu na akanisaidia professionally almost Bure na wengine wapo kama ndugu so, kama unakutana na watu wa aina unayoisema then Badilika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila JF inawapa watu kutoa maoni yake bila shida hata kama yanagusa JF. Hebu fikiria mtoa mada angekuwa ndo anaipondea serikali ya jiwe hivi kwenye gazeti YAANI angekula bUn ya maisha kabisa.

Mkuu umekosea kidogo hapo kukandia sana JF yani kama umekuja weka tangazo lako humu.
 
Iwe ni suala la kazi au mawazo ya kibiashara sijawahi kuona linked in ikiizidi jamiiforums japo nimeanza kuijua Linked in kabla ya JF.
 
Mkuu mi namashaka na IQ ya mleta mada?
Nadhani ndomana mtandao unaitwa jamii forums
"In a society" au jamii lazima kuna watu wa kila aina ,na kila profession..
Humu kuna doctors utawakuta zaidi majukwaa ya afya ,kuna wanahabari ,kuna wahandisi,computer scientists,

Pia humu wapo vijana wa secondary ,wavyuo vikuu

Pia kuna RAIA ambao hawakufanikiwa kusoma sana may be anakuja kupata taarifa humu,kuburudika na kuelimika pia

Kwakujua umuhimu wa wambea wambea katika jamii ,forum hii pia INA majukwaa ya hoja mchanganyiko na burudani zingine

Pia humu kuna wanasport wanamajukwaa yao ya michezo kwahio mkuu jamii forums ni mtandao uliokamilika hakika hii ni jamii humu so ukiamua kuingia humu uwe radhi kuwakuta watu wa kila aina,kila tabia,kila rangi,kila dini,kila kabila ,na wenye IQ levels tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwe ni suala la kazi au mawazo ya kibiashara sijawahi kuona linked in ikiizidi jamiiforums japo nimeanza kuijua Linked in kabla ya JF.
Mimi nilianza kuijua jamii forums kwanza lakini hata baada ya kuijua linkedin bado jf naitumia kwa kiasi kikubwa..

Linkedin ni ajira na kama mawazo ya kibishara huwezi kupata maana kule kila mtu anaepost, anapost kwa malengo aidha ni kupata kazi, connection ya watu wakubwa au wateja wa biashara zake ambazo nyingi ni proffessional.. Jf watu wanashare mawazo na kwa biashara za aina zote, watu wanafunguka kila kitu hivyo, jf ni jinsi wewe unavyoamua iweje kwako maana ni kama unachagua kampani ya marafiki

Mbona ipo tafouti sana ki maudhui... Au na kule kuna jukwaa la wakubwa, chit chat, Mmu na id fake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ipo tafouti sana ki maudhui... Au na kule kuna jukwaa la wakubwa, chit chat, Mmu na id fake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule ni mtandao wa kijamii kama twitter , insta au facebook ila umewekwa maalumu kwa watu proffessionals...
Jf ni online forum hivyo ni lazma viwe tofauti ila mleta mada alitaka kupima uzito wa umuhimu lakini ni vitu haviwezi kulinganishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wapo wachache? au wa kwenye proffesion yako ndio wapo wachache? maana una link na proffessionals ndio maana inaitwa LinkedIn.
Messages na chats zinategemea umelink na nani?
Inaelekea hujaelewa vizuri kazi yake na ndio maana unafananisha na jf ( ni sawa na kufananisha maembe na mahindi)
 
Inaonesha mtoa Mada kakurupuka, na hapo sasa ndio anaelewa JF ilivyo tofauti na Linked In maana ukikosea watu wanakuchana hapohapo😁😁😁.
 
Habari za muda huu wanajamvi, bila kupoteza muda nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kinavyoashiria. Binafsi ni mpenzi mzuri na mtumiaji mkubwa wa mtandao huu wa LinkedIn na nimekuwa nikipost na ku-comment katika topics mbalimbali katika mtandao huo. Humu wana msemo wao kuwa "Jamiiforums the home of great thinkers" ila kiukweli great thinkers humu ni wachache sana, wengi humu ndani ni fix na umwamba yaaani kila mtu ni PhD holder humu, Billionaire yeye, Boss yeye yaani kwa ufupi kila mtu kavimba humu kwenye mtandao huu. Nilichogundua katika mtandao wa LinkedIn watumiaji wengi kutoka nchi za Africa ni Nigeria ndio inaongoza, Watanzania ni wa kutafuta kwa tochi katika mtandao huo.
Sio kwamba hawaujui la hasha bali mtandao huo kwa maudhui yake ya haraka haraka umekaa ki-professional zaidi yaani hakuna kuchati hovyo hovyo bali kila post inayowekwa humo ipo professionally kwaajili ya sector fulani, yaani ni mtandao ambao ukitaka kukuza taaluma yako na career yako kwa upana zaidi basi unalink na wanataaluma wenzako au hata kujifunza taaluma ya wenzako na kuongeza knowledge zaidi. Asilimia kubwa ya wabongo wamejazana Instagram sababu ya umbea wa kila mara ambao hauna tija, humu kuna baadhi ya topics zinaletwa humu kweli zimeshiba haswa ila porojo ni nyingi sana, Facebook ndio kabisa nadhani hadi watoto wa shule ya msingi wana accounts zao mule, Twitter ni mtandao ambao pia unajitahidi kwa kutumiwa na watu ambao wamepevuka akilini ndio maana wale wakimbia umande wengi wanaukwepa mtandao wa Twitter pia na hujisemea kuwa ni mtandao mgumu kuutumia jambo ambalo si kweli
Je kinachopelekea Watanzania wengi kutouzimikia huu mtandao wa LinkedIn ni sababu ya
1) Lugha gongana, yaani kiingereza hakipandi na ukizingatia ili uufaidi mtandao huo inabidi kidogo lugha iwe haijakuacha na meli
2) Ukanjanja wa taaluma, kwa minajili kuwa katika mtandao huo huwezi kumdanganya mtu kuwa una PhD ya Law ilihali aina ya comments zako zimekaa ki-form four failure so ndio maana wengi wanaingia mitini kuogopa kuaibika?
3) Kukosekana kwa udaku, kwa maana kwamba mtandao huo ulivyokaa haumpi mtu nafasi ya kusambaza umbea kupita website hiyo jambo ambalo inakua ngumu kwa wale wazoea udaku na umbea kuukwepa mtandao huo makini?
mi niko huko pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom