Kwanini watanzania hatutamchagua Lowassa?

Wote hao ni marafiki wa kuribu wa Lowassa sio kwamba wanapigania mabadiliko ya kweli,wamekimbiria huko kujaribu bahati yao - wanacho tafuta ni vyeo just incase, mengine yote ni maigizo tu. Watanzania tumesali sana Mungu hawezi kutupatia kiongozi wa type ya YELSTIN.

Kwa nini mnasahau kwamba Mzalendo Magufuli kateuliwa na chama chake kwa njia ya Kimungu Mungu tu,tukubaliane kwamba alifika hatua ya kupependezwa kimiujiza ujiza - hiyo ni ishara tosha kwamba huyo ndiye Chaguo la Mungu.
 
Lowassa ana vinasaba vya ufisadi?
watanzania hatutaichagua ccm kwa kushindwa kumwajibisha fisadi mpaka anafikia hatua ya kugombea urais!!
 

sema wewe ndiyo huta mchagua na familia yako siyo Watanzania
 
tutamchagua tu huyo ndio anatufaa hatakuwa na tamaa tena
 
Cntomchagua Magufuli kwani hana sifa hata moja ya kuwa rais,, ntamchagua lowasa kwani ni mwadilifu na mchapa kazi ndyo maana mafisadi wa ccm wanamuogopa..
 

well said member and congrats!
 
Magufuli na uzinzi wake wa kugawa nyumba za taifa kwa vimada hamuoni kuwa ni dhambi ambayo iko kwenye amri kumi za Mungu???? BAADHI YA WATANZANIA MMEROGWA...KWASABABU MNAPENDA VYA DEZO....
 
Sema wewe ndie hutamchagua lowassa sio wote. Mimi na familia yangu wote ni watu wamabafiliko...CCM tupa kule

na hata katika familia zetu kuna zile za wenye akili na zile za wapumbavu na malofa. ila nijuavyuo ni kwamba familia zote za wenye akili tayari zimeshaamua kuwa kura zao zote watazipeleka kwa dr. john pombe joseph magufuli. hivyo wenye familia zenu za kipumbavu na kilofa tafadhalini endeleeni tu kubaki nazo na kumpigia mfalme wenu wa upungufu wa akili. hapa ni kazi tu!
 

Sema kwa nini hutamchagua sio kwa nini watanzania hawatamchagua
 

basi wewe kajiandaae kiafya usije ukaenda kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…