namfua masakia
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 178
- 150
KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:
Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.
Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.
Hata mimi pia na ukoo wangu wote hatutamchagua!sio wewe tu hatamie na ukoo wangu wote.
KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:
Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.
Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.
sio wewe tu hatamie na ukoo wangu wote.
Ni kweli mtu huyu hafai kabisa hata kuiongoza familia yakeKWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:
Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.
Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.
Sijasoma bandiko lako lote coz sijaona cha kujibu .... Sema kwann ww hutamchagua lowasa sio watanzania, usitujumlishe.
Pili, lowasa ni next president whether u like it or not.
Ssshiv nawaambia ukweli, bado siku chache sn, Kuna watakaolia, Kuna watakaokata tamaa kabisa baada ya matokeo..... Stay tuned.
Hivi nyie bangi hamuachi? Rais ni Magufuli ambaye atakuongoza na weweKale malimao raisi ajae ni lowassa