Kwanini wasichana wanashindwa kutuamini?

Kwanini wasichana wanashindwa kutuamini?

Mi ni kjana mwenye umri wa miaka 18 niko katika uhusiano na msichana kwa mwaka mzima sasa lakini huyu msichana hataki kufanya mapenzi na mimi eti kisa anahofia kuwa ntamchezea tu na kumuacha nimeongea maneno yote ya kujitetea lakni inaonekana kama ni kazi bure na nampenda sana licha ya kuwa na wasichana wengi duniani ki ukweli nae ananipenda kwa jinsi ninavyoona anasema eti nisubiri mpaka tuoane sasa wana JF eti anachonifanyia ni sahihi jamani???

Wewe mbona bado ni mwanafunzi? Halafu kama wewe una miaka 18 ina maana huyu msichana ni mdogo kuliko wewe au mnalingana!! Unataka kuzini na mwanafunzi mwenzio au mtoto kwa sheria za Tanzania? Hatutaki kuchangia crimes hapa!! Nenda shule au subiri ukue!! Huyu binti is superb maana hataki ulaghai wako. Hakika kwa umri uliokuwa nao bado binti kama huyu hawezi kuja kuwa mke baadaye!!! Inatokea kwa wachache sana na kwa wewe nina mashaka!! Mwache mwenzio asome shule atimize ndoto zake!!
 
Kwani uongo? Miaka 18 mwenzako ana miaka mingapi? Ana akili sana. Mpaka muoane utakuwa umemchezea na kumchoka utataka utafute mwingine fresh zaidi. Kama unampenda subiri mkue, usimlazimishe mapenzi, jengeni uhusiano wenu zaidi. Usitake kumtia mimba mwenzako halafu ndo uje kutuomba ushauri ukisema we bado mdogo, unajipanga.
 
Soma kwanza kwani mapenzi yapo tu, utayakuta.
U
sikurupukie maisha.

 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Nashukuru sana kwa ushauri wenu jaman mi nimehtm kdato cha nne ila kwako wewe majany unaesema navuta bangi poa tu ila let me tell you that BOGAS ARE THE ONES WHO HAVE LOWLY THINKING CAPACITY....
 
Last edited by a moderator:
Kijana amekoma hata rudia tena jamani....................!:becky:
 
Duu kweli umri wa kufanya ngono umesogea sana.
 
Mi ni kjana mwenye umri wa miaka 18 niko katika uhusiano na msichana kwa mwaka mzima sasa lakini huyu msichana hataki kufanya mapenzi na mimi eti kisa anahofia kuwa ntamchezea tu na kumuacha nimeongea maneno yote ya kujitetea lakni inaonekana kama ni kazi bure na nampenda sana licha ya kuwa na wasichana wengi duniani ki ukweli nae ananipenda kwa jinsi ninavyoona anasema eti nisubiri mpaka tuoane sasa wana JF eti anachonifanyia ni sahihi jamani???
Kwanza you are toooo young to be in love relation ndo maana hata huyo mdada hana imani na wewe,em jaribu kuwa muwazi kabisa katika umri huo una wazo lolote la kuoa au ndo kutaka kumchezea binti wa watu?Yawezekana binti kafanya consideration ya umri wako na kuona hamna kitakachoendela hapo baadae na ndo maana kakupa time aone nini mwisho wa relation yenu so usimlaumu yuko sahihi kabisa na unatakiwa umpongeze kwa msimamo wake huo.



N:B Sifa zinazoweza kuonekana za muhimu sana katikia kutafuta mwenzi katika teen age zaweza kuonekana kuwa si kitu mara mtu afikishapo umri wa utu mzima wa kuoa au kuolewa.so hata we pia yawezakuwa umevutiwa naye sana wakati huu lakini baadae uone kuwa sifa zake hazikuvutii tena like wise na ye pia so shortyl usimlazimshe.Let the time tell.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu jaman mi nimehtm kdato cha nne ila kwako wewe majany unaesema navuta bangi poa tu ila let me tell you that BOGAS ARE THE ONES WHO HAVE LOWLY THINKING CAPACITY....

Either BOGAS or PUMPKINS, you are stupid my boy! Low thinking capacity ni hii uliotumia kujifanya mkubwa kiasi urukie mambo yaliyo makubwa kuliko uwezo wako. Ni nini mnajifunza shuleni?

Aliyekwambia ukimaliza form 4 unakuwa mkubwa nani? Angalau siku zile tuliposoma tulimaliza kidato cha 4 tukiwa wakubwa na tumepevuka. Mimi ushauri wangu kwako ni ufute kabisa hayo mawazo yako ya kitoto. Wazazi au walezi wako wanawezekana kuwa bize na maisha haya magumu ndio maana hawana muda wa kufuatilia nyendo zako sasa hiyo isiwe sababu ya wewe kudhania umekuwa mkubwa wa kushiriki ngono. Jichunge mwenyewe usipotee kama tulivyopotea.

By the way, hii ndio picha ya JF kwa sasa. Huyu anaiga maongezi yetu humu, vinara wa kuongea ujinga haya ndio matunda yenu MMU
 
Kijana amekoma hata rudia tena jamani....................!:becky:

Na watu wazima nao wajirekebishe. Mada nyingi za MMU ni za kijingajinga na watu hujisifia upumbavu ndio hata watoto wanapata ujasiri wa kudhania maisha ndivyo yalivyo.

Nani asiyekumbuka mada ya mpuuzi mmoja anayeomba ushauri wa nini afanye juu ya hawara yake (nyumba ndogo) kwa kuwa kamkuta na mwanaume mwingine. Kwa nini watoto wasidhani tumehalalishwa kuishi kama wanyama?
 
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako....
 
Mdogo wangu umri ulionao ni umri wa mihemuko kwa vijana na ni umri usipokuwa makini sana utapoteza kabisa dira ya maisha yako. Ni umri ambao unatakiwa kuwa makini sana katika unachoamua kuhusiana na mihemuko ulio nayo.

Tafadhali usiuchezee ujana wako, wewe ni wa thamani sana. fanya mazoezi na shiriki michezo mbali mbali pia ni muda mzuri kwa kuwa umemaliza form four, tafuta vitabu vinavyohusu maisha na mambo mengine uweze kupanua wigo wako wa ufahamu na kuongeza misamiati ya lugha. Itakusaidia sana.

Usijiruhusu kutumbukia kwenye hii mambo, keep your self Bro.
 
Back
Top Bottom