Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

Ruge mbilikimo du kweli umechanganyikiwa
 
Mi ni mfefu jamani but binadamu hatustahili kuishi Kwa kutukana wengine.. Sijui jamii forum limekuwaje now days yani watoto wengi sana
 

braza yaonekana na wewe upo kundi hilo hilo but sio mbaya ni mtazamo wake 2
 
Last edited by a moderator:
Haahahah jf yatosha!
 
Wewe warefu unawajua wangapi?Sasa ulitaka wawe kama Hashimu Thabit.
 
haaaaahaaaaahaaaa wala siwezi sema asante coz sihitaji huruma ya mtu coz being short sio kilema wala ugonjwa and how can you proove that am short? i am who i am,kusema hayo niliyosema haimaanishi nataka huruma ya mtu au mimi ni mfupi no siwezi kujivunia kitu ambacho sikujipa mimi au sikustrugle kukipata huo ni utahira na ndio nawakumbusha na ninyi mnaojivunia vitu ambavyo hamkuvitolea jasho kuvipata,hongera wewe uliyejipa huo urefu naona mwenzetu ulijiamulia kuwa mrefu na naona ukoo wenu wote ni matolu na naona you run this cruel world with a lot of shits,suit yourself mkuu walikuwepo kama wewe wengi tu ulizia kwa sasa wako wapi majibu utayapata !!!!!!!!!!!
pole mbilikimo, sio wewe peke yako hata lulu ni mfupi
 
kusema hayo niliyoyasema hakutoi guarantee kuamua nina kimo kipi,am just a human being who is concerned with others people well being nina imani hata wewe una mapungufu ambayo yanakukera na huyapendi na ungekuwa na uwezo ungeyatoa,utajisikiaje ikiwa watu wanakunyanyapaa au kukuchambuachambua kwa kasoro ulizonazo na wala huna control over them,yeah ni mtazamo wake lakini ni mtazamo usiofaa mtazamo wa kibaguzi na ninaamini hakuna anayepnda kubaguliwa iwe kwa ajili ya rangi,kimo,kabila,utajiri,umasikini n.k.
braza yaonekana na wewe upo kundi hilo hilo but sio mbaya ni mtazamo wake 2
 
haya basi tafuta ulimwengu wako peke yako ili usiwaone hao wafupi naona wanakukera mno,si uumbe ulimwengu wako basi ili usiaonane na wafupi?maanake unavyoongea ni kama vile warefu ndio wanaotakiwa duniani na wao ndio kila kitu,haya basi tafuta sayari yako uwakusanye warefu wote uishi kwa amani.
pole mbilikimo, sio wewe peke yako hata lulu ni mfupi
 
Mmh huyu mleta mada naona macho yake haoni vzr TID mfupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…