Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Wengi wao ni waha kutoka kigoma.
10 out of wasanii wote wa music bongo.. ndio wengi?
10 out of wasanii wote wa music bongo.. ndio wengi?
Ha ha ha ha You make my day mkuuTanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.
Ukiwa mjinga usipende kila mtu afahamu hilo, kwa akili zako ulitegemea jukwaa la celebrities tujadili ebola???
Wewe huwa unalamizisha kuwa GT while in reality you are not, nimesema hao ni baadhi tu. Unafaham maana ya neno baadhi??? B.W.E.G.E wewe
Wewe huwa unalamizisha kuwa GT while in reality you are not, nimesema hao ni baadhi tu. Unafaham maana ya neno baadhi??? B.W.E.G.E wewe
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.
Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi wanapenda sana kujionyesha kwakuwa wanahisi wanadharaulika?
Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
3. Linnah
4. Sheta
5. Rich Mavoko
6. Nikki wa Pili
7. T.I.D
8. Ommy Dimpoz
9. Dully Sykes
10. Ally Kiba
KWANINI WASANII WENGI WA BONGO WAFUPI?
DR. MCHUNGUZI HURU (PhD)