Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kuna clip moja ya wachawi wa songea walikamatwa wakaulizwa mnakula nyama za binadamu? Wakajibu ndio na wakauliza nyama gani tamu kuliko yote wakajibu ni ya matako hasa mwanamke mnene! Duh nilishangaa sana.
 
Hapana si kweli ndugu yangu ili swala ni bora kulizungumzia Mara kwa Mara huenda linaweza kusaidia kuwaokoa baadhi ya watu wlioowahi kujihusisha au kuwatisha wasiowawahi kujihusisha, cha msingi ni kuzungumzia madhara yake kidini, kimaumbile, kisayansi, na kisaikolojia pia, hili swala linaathari sana kisaikolojia yaani ukiruhusu mtu akuendee kinyume na maumbile kamwe hatokupenda bali atakuwa anakutamani kwa muda na kamwe hatokuoa,
 
Kuna clip moja ya wachawi wa songea walikamatwa wakaulizwa mnakula nyama za binadamu? Wakajibu ndio na wakauliza nyama gani tamu kuliko yote wakajibu ni ya matako hasa mwanamke mnene! Duh nilishangaa sana.

kwa hiyo ulihic wachawi ni wala tigo fugees
 
matakwa ya wazungu hayo na sasa hv ushoga ushaanza kuzoeleka hii dunia inapoelekea!!!
 
Kiuhalisia suala la kufanya mapenz kinyume na maumbile ni baya na ndo maana hata wanaofanya huwa hawapendi kujulikana kama wanafanya,
Naomba nizungumzie madhara yake kisaikolojia
Hili swala huvunja kabisa mahaba na mapenzi katika uhusiano na pia huleta utumwa, Mara nyingi hukuta mwanaume aliyezoea kumuingilia mpenz wake huwa anashikwa na tamaa ya kumisi kufanya naye hivyo, na Mara tu anapomaliza huwa anamchukia na kumdharau yule mwanamke pasipo kumwambia yy mwenyewe, unakuta hamthamini kwa kuwa anamuona ni mshenzi japo wanapokuwa PAMOJA hujifanya anampenda, hii hupelekea hata kugombana Mara kwa Mara ambapo mwanamke anaweza kuwa ndo mwanzilishi kwa kutaka athaminiwe na mwanaume lakini moyo wa mwanaume unakuwa tayari umeshamdharau mwanamke yule, hivyo hupelekea hata mwanaume kuwa tayari kuachana na mwanamke Huyo huku moyoni akijiahidi akimuacha ataacha huo mchezo atakapopata mtu atakayempenda, lakini hali hii hushinsikana kwani bara tu baada ya kuachana mwanaume hushikwa na hamu ya tendo lile na kupelekea hats kuomba msamaha hats kwa kilio, lakini mchezo huwa huohuo maisha yao yote, japo watatesekea penzi lakini mwanaume hatokuwa tayari kumuoa ikiwa bado hajamuoa labda kama wameanza huo mchezo wakiwa tayari kwenye ndoa.
 
Nimeipendaa San na pia nimejifunzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…