Kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini sana kupita kiasi

Mbaya zaidi awe anakalio kubwa alafu mweupe au maji ya kunde na itokee umvue nguo mtoto tako , guu ,upaja ndo usiseme kiuno nyigu ila hakuna kitu ni gogo tuu hata romance hajui haelewi hata afanye nini .
Wanakuaga hawana akili kabisa
 
Elewa saikologia ya mwanamke !! Ili mwanamke ajiamini ni muhimu kwake ajue ana nini kitakachomweka juu ya wenzake lonapokuja swala la wanaume. Akisakijua hicho kitu ( kama ni nywele, uso mzuri, macho, matiti, shape, makalio, hips, mguu) atahakikisha inaonekana kila anapotokeza mbele ya wanaume au anapokuwa na ushindani na wenzake.
Fuatilia utaona...
 
Na wengi wao ni very charming. Sijui kwann lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…