n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,543 Reaction score 7,270 Dec 3, 2024 #61 Loimata said: Hakuna mwanaume anayejielewa ataishi kwa furaha kwa pesa ya mkewe Click to expand... Huu ndio ukweli.
Loimata said: Hakuna mwanaume anayejielewa ataishi kwa furaha kwa pesa ya mkewe Click to expand... Huu ndio ukweli.
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,264 Reaction score 3,585 Dec 3, 2024 #62 KENZY said: Mkuu ushawahi kupigwa ban..?? sasa jitafutie ban ya lazima Click to expand... Wana Bariadi moja wana katabia kanaitwa "kusameleja mva".... Naona umeamua kunitisha na ban, na unataka kunisameleja kwa modππ
KENZY said: Mkuu ushawahi kupigwa ban..?? sasa jitafutie ban ya lazima Click to expand... Wana Bariadi moja wana katabia kanaitwa "kusameleja mva".... Naona umeamua kunitisha na ban, na unataka kunisameleja kwa modππ
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,514 Reaction score 89,006 Dec 3, 2024 #63 Baba Kisarii said: Wana Bariadi moja wana katabia kanaitwa "kusameleja mva".... Naona umeamua kunitisha na ban, na unataka kunisameleja kwa modππ Click to expand... kijana bado hujakuwa wewe ukikuwa utaheshimu wakubwa zako!
Baba Kisarii said: Wana Bariadi moja wana katabia kanaitwa "kusameleja mva".... Naona umeamua kunitisha na ban, na unataka kunisameleja kwa modππ Click to expand... kijana bado hujakuwa wewe ukikuwa utaheshimu wakubwa zako!
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,264 Reaction score 3,585 Dec 3, 2024 #64 KENZY said: kijana bado hujakuwa wewe ukikuwa utaheshimu wakubwa zako! Click to expand... Hata wewe ni hivyo hivyo.
KENZY said: kijana bado hujakuwa wewe ukikuwa utaheshimu wakubwa zako! Click to expand... Hata wewe ni hivyo hivyo.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,087 Reaction score 72,502 Dec 3, 2024 #65 Mwanaume anapenda mwanamke alie chini iki amcontroll,ika vijana wa sasa wanapenda na wanatafuta wanawake wenye pesa
Mwanaume anapenda mwanamke alie chini iki amcontroll,ika vijana wa sasa wanapenda na wanatafuta wanawake wenye pesa
Loimata JF-Expert Member Joined Dec 1, 2022 Posts 750 Reaction score 1,744 Dec 3, 2024 #66 n-propanol said: Umeongea vyema. Click to expand... ππ
Loimata JF-Expert Member Joined Dec 1, 2022 Posts 750 Reaction score 1,744 Dec 3, 2024 #67 n-propanol said: Huu ndio ukweli. Click to expand... Kabisa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,823 Reaction score 113,405 Dec 4, 2024 #68 Kama ipo ipo said: Ukiwaelewa/mkielewana mbona poa tuu hivi wewe kwa mawazo yako familia ambazo unakuta zimefanikiwa kiuchumi, kijamii na kiroho unadhani mwananamke oya oya mtafika huko? Yote kwa yote maelewano na kuheshimiana ndio msingi. Click to expand... Hayo uliyoyasema ni sahihi ila kwangu mwanamke anaenivunjia heshima hafai.
Kama ipo ipo said: Ukiwaelewa/mkielewana mbona poa tuu hivi wewe kwa mawazo yako familia ambazo unakuta zimefanikiwa kiuchumi, kijamii na kiroho unadhani mwananamke oya oya mtafika huko? Yote kwa yote maelewano na kuheshimiana ndio msingi. Click to expand... Hayo uliyoyasema ni sahihi ila kwangu mwanamke anaenivunjia heshima hafai.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Nov 29, 2025 #69 Kawaida sana... Cc: Mahondaw