Kwanini wanawake wengine hawajishughulishi kitandani?


Mwambie "ndoroooooobo wee"
 
Acha uvivu wewe..mwanaume shababy na mwenye zoezi la kutosha awezi kulalamika kusaidiwa na mwanamke...Lazima una tatizo la uvivu.
 
Acha uvivu wewe..mwanaume shababy na mwenye zoezi la kutosha awezi kulalamika kusaidiwa na mwanamke...Lazima una tatizo la uvivu na kuchoka hovyo
 
😂😂😂😂😂😂Ukiona hakatiki.. Mkatikie ww
 
majibu ya hapa balaa,...ila kuna wadada hawajiongezi hata kidogo wanaboa!!
 
Hana hisia na wewe jaman,makabila yanahusiana nin??anawezekana wa pwan lakin hamna kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…