Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Wewe mkuu haumo kabisa ktk group hiloYan hao wanawake ndo mm kabisaaaa
Vinaniii vinini fungukaaaWewe mkuu haumo kabisa ktk group hilo
Lbd kama unatoa tangazo tu
Hili jukwaa wanachunguliaga tu na kusepa
Ila vinanihii ndo vipenzi vya huku
Samahani lkn
Teh
Ukigundua yuko hivyooo endelea kumuhamasisha atabadilikaInashauriwa na inapendeza sana, kwa mwanaume yeyote anapotafuta mwenza wa maisha, basi aoe mwanamke smart kichwani na sio hopeless, ili pamoja na kuwa na familia nzuri na bora, mnaweza pia kusaidiana kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. And of course kuna faida nyingi tu, kuwa na mwanamke aliye smart upstairs.
Tatizo lililopo kwa hawa wanawake smart kichwani ni kwamba wengi wao sio romantic. Huchukulia mapenzi kwao kama ni kitu cha tatu after maendeleo yao binafsi, na kuwa bize na other issues kma kusoma kila wakati na ikitokea kuna mabishano au kupishana kidogo tu, they never go down, na ni wachache mno kukuta wanaomba samahani, regardless kosa ni la nani. Atapambana mpaka mwisho hata kama kakosea yeye.
Na kwakuwa mapenzi kwa wengi wao hawayapi kipaumbele, basi kitandani wanachojua wao dushelele likiingia basi, ndo washamaliza. Hakuna utundu wowote. Hapa sasa mume akijaribu tu kuchepuka kwa kina Mwajuma Sinanoma, Aisha, etc, watoto ambao ni wa uswazi, lazima apagawe.
Maneno yangu sio sheria!
Siyo kweli. Wapo wanawake smart na watundu pia.Inashauriwa na inapendeza sana, kwa mwanaume yeyote anapotafuta mwenza wa maisha, basi aoe mwanamke smart kichwani na sio hopeless, ili pamoja na kuwa na familia nzuri na bora, mnaweza pia kusaidiana kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. And of course kuna faida nyingi tu, kuwa na mwanamke aliye smart upstairs.
Tatizo lililopo kwa hawa wanawake smart kichwani ni kwamba wengi wao sio romantic. Huchukulia mapenzi kwao kama ni kitu cha tatu after maendeleo yao binafsi, na kuwa bize na other issues kma kusoma kila wakati na ikitokea kuna mabishano au kupishana kidogo tu, they never go down, na ni wachache mno kukuta wanaomba samahani, regardless kosa ni la nani. Atapambana mpaka mwisho hata kama kakosea yeye.
Na kwakuwa mapenzi kwa wengi wao hawayapi kipaumbele, basi kitandani wanachojua wao dushelele likiingia basi, ndo washamaliza. Hakuna utundu wowote. Hapa sasa mume akijaribu tu kuchepuka kwa kina Mwajuma Sinanoma, Aisha, etc, watoto ambao ni wa uswazi, lazima apagawe.
Maneno yangu sio sheria!
HiMungu Hakupi Vyote