Kwanini Wanawake wengi huwa hawakumbuki kubeba Vitambaa vya kufutia uchafu baada ya tendo?

Hahaaaaaaaa!!!! Hii mada imenichekesha sana si kwa majibu haya...
Nawaza vitambaa vitakuwa zaidi ya kimoja au ni mwendo wa kufuta na kufua Usumbufu wote huo si bora tukimaliza tukaoge kimahaba tightly hizo nyege zitarudi tu....mambo ya vitambaa tuwaachie wanaogegedana getho uswahilini......
BTW kuoga pamoja kwa warm shower is so sexy
Unafikiri wake wa dada wanaotembea na khanga kwenye handbag ni za nini? Hasa hizi khanga nyepesi
 
Na joto hli la mjini ujifutie kitambaa si kitanuka kwenye pochi lol hapan kama huezi enda guest ya maana Bora uache tu
 
Those days mkuu! Tulikua tunapata mbunye bure kabisa! Nazani Rose atakua keshaolewa!

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app

Ha ha ha ha ha ha...' Kamarada ' zile siku tukiwa SAUT ' Darfur ' Hostel ilikuwa ni raha na burudani sana hasa kwa ' Team Wapenda Mbunye '. Rose Demu wako wa zamani si tu kwamba sasa hivi atakuwa ameshaolewa bali nadhani atakuwa ' ameshatotoa / ameshazaa ' karibia Timu nzima ya Taifa Stars. Si unajua tena nyie ' Wasukuma ' mnavyopenda Kufyatua?
 
Siku hizi mmmh wachache sana ndio huwa wanafanya hivyo
 
Attachments

  • bitmoji-20170705112949.png
    bitmoji-20170705112949.png
    14.7 KB · Views: 34
hapo kwenye makaratasi ya marejesho ya vicoba, nimecheka sana. ukiona mwanamke anakukopa a very suspicious amount of money mwisho wa mwezi jua ni 'rejesho' limegomba, maana hizi "baby niazime 72,000 nitakupa baada ya wiki mbili" mmmmmmmh

cc Miss Natafuta sijui kama linakuhusu hili?
 
ahaaa hapana mkuu sina hata baby mimi sijui kuomba hela kabisa kwa mwanaume . maana hata hupewi
 
Hili nimeliona sana kama siyo mno na sasa nadhani linashika kasi katika Jamii yetu. Huko zamani au huko nyuma ulikuwa ikitokea unaenda Gesti au Loji ' Kubanduana ' au ' Kufanya nae Mapenzi ' au ' Kungonoka ' na Mwanamke wengi wao walikuwa wanahakikisha ' wanabeba ' Vitambaa vyao ' maalum ' vya kufutia ' Uchafu ' wetu wa ' Kibaiolojia ' hapa namaanisha Manii ya Kiume / Shahawa na yale maji yao ya ' Utelezi ' ambao hutokana baada ya kutoka katika ' mbanduano '.

Sasa cha ' kushangaza ' kama siyo ' kusikitisha ' karibu 99% ya Wanawake wa siku hizi huwa hawakumbuki kabisa kubeba hivi ' Vitambaa ' vya kufutia ' Uchafu ' wetu hali ambayo sasa inatufanya sisi Wanaume ndiyo tuwe tunakumbuka kubeba. Wanachokumbuka Wanawake wa siku hizi kubeba ni Power Banks tu na Karatasi za marejesho yao ya Vicoba ila siyo ' Vitambaa ' hivi vya kutumika katika ' mbanduano '.

Je Dada zangu / Wanawake nini kimewakumba siku hizi hadi mnasahau ' Majukumu ' muhimu ambayo ambayo Bibi, Mama na Shangazi zenu walikuwa wakiyafanya huko nyuma na yalikuwa yana ' tija ' sana na kuzidisha raha nzima ya mahaba?

Halafu hata ikitokea siku hiyo mmebeba hivyo ' Vitambaa ' na ikitoke ndiyo tumeshamaliza ' mbanduano ' wetu ukiwa mnaifuta ' Mikuyenge ' yetu huwa mnatumia ' nguvu ' kubwa mtadhani mnasugua Sufuria iliyotukuka kwa ' miukoko ' hadi mnatukwaruza kama siyo kutuchubua kabisa.

Badilikeni Dada zetu ( Wanawake ) na mnapokuja Kwetu sisi Wanaume katika zoezi zima la ' Mbanduano ' basi hakikisheni sana mnakumbuka kubeba hivyo ' Vitambaa ' kwani kuna raha sana mkija navyo wenyewe halafu tukishamaliza mnatufuta pia wenyewe ila hata mkitufuta basi jitahidi zoezi hilo nalo liwe ' gently ' and ' friendly ' na siyo kama tuko Vitani.

Nawasilisha.

Mwanamke wa pwani ndio anaweza kuja na kitambaa‍♀️‍♀️
 
nyuzi zako nazipenda ila tatizo hizo fonts yani zinakera kweli kweli

Pole sana Mkuu. Vipi na ' Font ' hii nayo inakukera? Nasubiri ' mrejesho ' wako ili kama ukiipenda hii basi kuanzia sasa niwe naitumia kwani sitaki ' kuwaudhi ' au ' kuwakosea ' Team GENTAMYCINE humu JF.
 
Hili nimeliona sana kama siyo mno na sasa nadhani linashika kasi katika Jamii yetu. Huko zamani au huko nyuma ulikuwa ikitokea unaenda Gesti au Loji ' Kubanduana ' au ' Kufanya nae Mapenzi ' au ' Kungonoka ' na Mwanamke wengi wao walikuwa wanahakikisha ' wanabeba ' Vitambaa vyao ' maalum ' vya kufutia ' Uchafu ' wetu wa ' Kibaiolojia ' hapa namaanisha Manii ya Kiume / Shahawa na yale maji yao ya ' Utelezi ' ambao hutokana baada ya kutoka katika ' mbanduano '.

Sasa cha ' kushangaza ' kama siyo ' kusikitisha ' karibu 99% ya Wanawake wa siku hizi huwa hawakumbuki kabisa kubeba hivi ' Vitambaa ' vya kufutia ' Uchafu ' wetu hali ambayo sasa inatufanya sisi Wanaume ndiyo tuwe tunakumbuka kubeba. Wanachokumbuka Wanawake wa siku hizi kubeba ni Power Banks tu na Karatasi za marejesho yao ya Vicoba ila siyo ' Vitambaa ' hivi vya kutumika katika ' mbanduano '.

Je Dada zangu / Wanawake nini kimewakumba siku hizi hadi mnasahau ' Majukumu ' muhimu ambayo ambayo Bibi, Mama na Shangazi zenu walikuwa wakiyafanya huko nyuma na yalikuwa yana ' tija ' sana na kuzidisha raha nzima ya mahaba?

Halafu hata ikitokea siku hiyo mmebeba hivyo ' Vitambaa ' na ikitoke ndiyo tumeshamaliza ' mbanduano ' wetu ukiwa mnaifuta ' Mikuyenge ' yetu huwa mnatumia ' nguvu ' kubwa mtadhani mnasugua Sufuria iliyotukuka kwa ' miukoko ' hadi mnatukwaruza kama siyo kutuchubua kabisa.

Badilikeni Dada zetu ( Wanawake ) na mnapokuja Kwetu sisi Wanaume katika zoezi zima la ' Mbanduano ' basi hakikisheni sana mnakumbuka kubeba hivyo ' Vitambaa ' kwani kuna raha sana mkija navyo wenyewe halafu tukishamaliza mnatufuta pia wenyewe ila hata mkitufuta basi jitahidi zoezi hilo nalo liwe ' gently ' and ' friendly ' na siyo kama tuko Vitani.

Nawasilisha.
Mkuu siku nyingine jaribu kupunguza makali ya maneno aisee..
 
Siwezi Mkuu na Mimi siku zote ' Principle ' yangu ni ' Kunyoosha ' tu maneno bila ' Unafiki ' au sijui kuona ' aibu '. Kwanza hata hivyo ' Mshipa ' wangu wa ' aibu ' ulishakatwa takribani miongo mitatu ya nusu wakati ' Madaktari ' wa zamu Sister Agatha na Sister Imaculate wa Agha Khan Hospital walipokuwa wakinisaidia kuja duniani kutoka kule nilikohifadhiwa kwa muda wa miezi Kenda / Tisa.
 
Daa..I salute broo
 
Back
Top Bottom