MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Jamani kuna suala linanitatiza kuhusu wanawake wa haya makabila mawili tajwa hapo juu.Kwanza kitu kimoja ninachowapenda huwa hawana gharama kuwapata kabisa, ukienda ngomani kazi yako wewe ni kuchagua tu yupi anakufaa,kisha unaweza kumleta geto ukaa nae hata miaka minne wewe unamwambia tunachunguzana tabia tuu then baada ya huo muda unaweza kumwambia tabia zake hujazipenda hlf unamwambia arudi kwao then ww unaenda ngomani kutafuta mwingine ,yaani kwa maana nyingine sio ving'ang'anizi kama hawa wa kabila la Lipumba.
Lakini kama Ney alivyosema,yaani muumba hakunyimi vyote wala hakupi vyote, tatizo kubwa la haya makabila ni wana juhudi sana kwenye suala la urembo lkn akimaliza kujiremba unaweza kufa kwa kicheko,yaani unakuta poda kapaka mpaka basi,utafikiiri alipimiwa kwenye mzani,wanja umeanzia sikioni ukapita kwenye paji la uso mpaka sikio lingine hapo hatujagusia suala la kujichubua,yaani unakuta mtu mweupe lkn nuckles nyeusi tii,kama unabisha pita maeneo ya T/Uzuri asubuhi utawakuta wamekaa mabarazani.