Kuna jamaa , bosi wangu alinambia kitu ambacho huwa nakifanyia kaz kwa umakin sana.Alisema , as long as u have turned 30 's usichukulie poa badiliko lolote la kiafya unapolihis mwilin.Nenda hospital kujua tatizo na upate matibabu

Kuna wanawake huwa wanalia kimkakati.Unaweza kukuta wakati wanaelekea msibani wako fresh tu wanapiga story kama kawaida.Wanaambiana tukifika mahali Fulani wakikaribia msibani wanaanza kulia mpaka machozi na makamasi kabisa kama sio wao waliokuwa wanapiga story!
Moyo unauma saana anakukuta unapiga ukunga weeeh ukimaliza unajifuta machozi unatoka nje unatabasamu..kama hujalia vile maisha haya..ingawa sio siku zote