Kurutamjanja
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 396
- 377
Wadau hili ni la Kweli Kabisa. Mm Binafsi nimelichunguza nimeona Katika Mahusiano Kuna upungufu Kwa Wanawake, Mama na Dada Zetu. Kwanini Mwanaume Hata awe na PHD, awe na Kazi hata ya Uwaziri, awe Na Biashara Kubwa Kiasi Gani awe bilionea na awe HB Kiasi gani anaweza Akamuoa Mwanamke Darasa la saba au hata ambaye hajasoma kabisa. Na maisha yakaenda. Ila kwanini Mwanamke akiwa na Kadigree hata kamoja tu Hapo Kuolewa na O-Level ni kazi kubwa sana. STD 7 ndio kabisa labda Mwanaume huyo awe na mkwanja. Hivi ni kwanini? Kwa Hili Wanume imeonekani ni Wakarimu zaidi ya Kinadada. Nawasilisha.