Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,681
- 54,500
Wananunua kwanza wanakupanga unase😅😅Baada ya kusasambuliwa lakini
Wananunua kwanza wanakupanga unase😅😅Baada ya kusasambuliwa lakini
Wengi wanasemaga hiviKuna mmoja ni mkenya anaitwa samira aliwahi niambia yaani angekuwa mwanaume angekuwa "anawakula sana wanawake'😕😕. Hii kauli ilinipa red flag hivi kichwani... huenda fuse zingelegea kidogo angekuwa lesbian