Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,582
- 10,112
Wapo wanafalsafa waliowahi kusema mtoto anapogundua yeye niwakike anaaza kujichukia , sitaki kuunga mkono sana madai yake lakini nikama yana mwelekeo wa ukweli.
Ninaamini kama ungekusanya wanawake kadhaa ukawauliza kama wangependa kuzaliwa wanaume au wakike kama walivyo wangechagua Me (kama watakuwa huru kusema hivyo)
Mambo yanayo chagiza hoja hiyo
- Wanawake wengi hupenda kutumia jinsia ya ke kama matusi sio ajabu kusikia hivi wewe nI mwanaume au mwanamke, una mambo ya kike na kadhalika
- Wanachukiana wao kwa wao, hawapeani nafasi n.k utasikia kuliko nikutane na mwanamke bora nikutane na mwanaume , labda kwenye huduma fulani
- Hudhani maumbile yao yana mwonekano mbaya ( sitafanua zaidi)
Nini kifanyike? Kwanza wanawake wanatakiwa kujikubali wenyewe kama wenyewe kuwa nao ni watu wameumbwa kwa mpango wa Mungu. Pili, jamii iache kuwafanyia uonevu ambao unasababisha kujichukia
Tatu , waache kujidharau hasa kutukana wenzao au sisi wanaume kwa kutukia jinsia kumtukana mtu kijinsia nijambo lililofaa, kwani kila jinsia nimuhimu na hakuna iliyobora kuliko nyenzake (tunategemeana na kukamilishana)
Nihayo tu