Kitu nime experience kwa rafiki yangu mmoja alimtambulisha mchumba wake wiki ilyopita Nyumbani kwao sasa mama mdogo dada zake wameanza maneno ya kila mtu anasema lake Jumapili nilikuwa pale kwao sasa wakaanza kuniambia mshauri rafiki yako mwanamke gani yule kama ameshindwa kupata mwanamke mzuri tumtafutie nikawa nacheka sikujibu kitu.
Baba yake na rafiki na kaka zake hawana shida tulikuwa tunatia stori za mambo mengine tu mpira na siasa.Swali naomba kusaidiwa ni kwa nin wanawake ndio huwapiga wanawake wenzao vita ili hali hao wakiambiwa maneno yaleyale huko walikoolewa hulalamika sana?.
Ni kwa nini wakinamama hupenda kumchagulia watoto wao mwanamke wa kuolewa nae ili hali wao hakuchaguliwa waume zao walichagua wenyewe,ni kwa nini dada zetu ukiwaambia mwanaume ulieleta hafai huwa wakali sana ila ni rahisi kusema maneno hayo kwa kaka zao kwa nini dada zetu huwa hapendi kuona kaka zao wanaonyeshana upendo na wake zao na hukimbilia kudai kaka kageuzwa zoba ili hali wao wanafanyiwa hivyo na waume zao.