A man with one idea
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 125
- 269
Habari za leo ndugu zangu! Ningependa mnisadie kwanini Kwenye suala la kutembelea ndugu, hasa wale wenye uwezo wa kifedha.
Mama wa familia ndio huonekana kikwazo cha Mahala pale kutofikika hasa ndugu wale wa upande wa mwanaume( unakuta mtu anakwambia siwezi kabisa kwenda kwa ndugu yule! Ukiuliza kwanini? Anakwambia yule mke wake sio!) Je hili usababishwa na nini?
Ni kweli wanawake wengi huwa kikwazo kwa ndugu wengi kutoka upande wa Baba kutofikika pale kwake!?