Kwanini wanawake mnaipenda 10,000?

Kwanini wanawake mnaipenda 10,000?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Kwa binadamu kuomba au kutoa fedha ni jambo toka enzi. Na kuombwa hela kwa mwanaume ni ufahari, nina swali kwenu nyie baadhi ya wanawake

Hivi ni kwanini wengi hupenda kuomba au kuhitaji 10,000 mkiwa au akiwa na shida?

Hii pesa ina siri gani?
 
Haina siri yoyote zaidi njaa tu kwa wanaoomba!Kwako #Bumija😊
 
Na ninyi wanaume ni kwanini hata mkiwa na hela ndogo kwenye wallet ni lazima tu mtoe msimbazi kwanza..? Hasa mkiwa mnahudumiwa na mwanamke,

Mpaka mtu akikosa 'chenchi' mfano ndiyo wanaume wanajifanyaga 'hebu leta nikuangalizie', na unakuta ako nayo..!

Huwa mnataka kutuonyesha nini..??
 
Huwa tunataka kuwaonyesha kuwa tuna hela!! nyie si mnapenda sana hela?!!😂😂
 
Na ninyi wanaume ni kwanini hata mkiwa na hela ndogo kwenye wallet ni lazima tu mtoe msimbazi kwanza..? Hasa mkiwa mnahudumiwa na mwanamke,

Mpaka mtu akikosa 'chenchi' mfano ndiyo wanaume wanajifanyaga 'hebu leta nikuangalizie', na unakuta ako nayo..!

Huwa mnataka kutuonyesha nini..??

Maana yake wallet ya mwanaume haitakiw ikose 10.
 
Na ninyi wanaume ni kwanini hata mkiwa na hela ndogo kwenye wallet ni lazima tu mtoe msimbazi kwanza..? Hasa mkiwa mnahudumiwa na mwanamke,

Mpaka mtu akikosa 'chenchi' mfano ndiyo wanaume wanajifanyaga 'hebu leta nikuangalizie', na unakuta ako nayo..!

Huwa mnataka kutuonyesha nini..??
Ushamba au nae anatafuta change nae
 
Na ninyi wanaume ni kwanini hata mkiwa na hela ndogo kwenye wallet ni lazima tu mtoe msimbazi kwanza..? Hasa mkiwa mnahudumiwa na mwanamke,

Mpaka mtu akikosa 'chenchi' mfano ndiyo wanaume wanajifanyaga 'hebu leta nikuangalizie', na unakuta ako nayo..!

Huwa mnataka kutuonyesha nini..??
Neno "ako nayo"likitamkwa/kutumika namchukulia mtamkaji ni kama vile mdangaji fulani hivi au slei queen wa nguvu.
 
Weee weee ngoja kwanza!Yaani kuombwa hela na mwanamke ni ufahari?Sisi wengine ukianza kuomba hela tu na mzuka unakata.Tafuta zako bana.
 
Kwa binadamu kuomba au kutoa fedha ni jambo toka enzi. Na kuombwa hela kwa mwanaume ni ufahari, nina swali kwenu nyie baadhi ya wanawake

Hivi ni kwanini wengi hupenda kuomba au kuhitaji 10,000 mkiwa au akiwa na shida?

Hii pesa ina siri gani?
Wanawake wa wapi hao?

Huko wanaomba kuanzia 50,000!!
 
Na ninyi wanaume ni kwanini hata mkiwa na hela ndogo kwenye wallet ni lazima tu mtoe msimbazi kwanza..? Hasa mkiwa mnahudumiwa na mwanamke,

Mpaka mtu akikosa 'chenchi' mfano ndiyo wanaume wanajifanyaga 'hebu leta nikuangalizie', na unakuta ako nayo..!

Huwa mnataka kutuonyesha nini..??
Ubishi tu...
 
Asilimia kubwa ya madem wa kibongo

Wakiomba hela usipo mpa anakuambia

Humjali/humpendi

Ova
 
Back
Top Bottom