Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Siri ya mtungi aijuaye kata, wakati fulani watu hukuza habari kulingana na mtizamo wa jamii husika.
Swali langu kwako, je wewe ni mgeni hapo kwenye kwaya kwamba hujui a,b,c za huyo mwanakwaya?
Sio kila linalosemwa kuhusu udhaifu wa wanawake ni kweli, vinginevyo kusingekuwa na mahusiano. Cha msingi tambua hakuna aliye msafi.
Binti mmoja aliwahi zushiwa kuwa mi maharage ya mbeya na orodha ya wanaume ikaandaliwa, kumbe wapi walikuwa marafiki tu, mijanaume mingine ikisikia watu wanaitana baby, mpenzi n.k inawaza ngono tu.
Yaani umeandika mchakamchaka nimesoma kama nimeachwa na gari ubungo n hivi hao wanaodate "boys" bado hawajijua wakijijua watajielewa halaf mwanaume akisogoa kamamwanamke me jibumoja tu yy n shoga au ana element za ushoga mwanaume mzima anakosa la kufanya kukaa kumjadili mwanamke eish
nisamehe mamaafacebook yaani unajua ile ya kuandika huku unasema y...y...siku ilinishia vibaya maana nilyedhani nataka awe blanket ya maisha watu wanaharibu tena bila kuulizwa
Hivi jamani dume zimaaaa na pu.mbu zako 2, na misharubu kifuani, ndevu kama mbuzi unakaa ukimdiscuss DEMU? Gademuuuuuuuuuuuuuuu!
Anyway ila na sisi tunajadiligi KATIBA kama ni ENDOWED, PRETTY MUCH AVERAGE AU KIBAMIA. Ni itifaki tu inafatwa. GIRLS WILL ALWAYS BE GIRLS. Ila since umbea is our middle name, saves us right. ILA DUMEEEEEEEEE???????????? Msije sutwa tu na keki na shampaign. Raha ya umbea kusutwaaaa babu nyieeee msije tu fika huko.
mkuu hapa kwenye choir nina miezi sita tu..kwa hito siwezi sema me mwenyeji sana..maana it take a life time to study a girl...halafu mkuu najua unajua how you feel ukipokea negative side za mwanamke ambaye umemuweka kichwani kuwa ukimpata you want to make her a last page of your women history
Advice noted mkuu,,thanksBasi punguza kasi wakati ukiendelea kumsoma na kufuatilia hayo uliyosikia ili mwishoni usije sema "ningejua".
Asante sanaPole sana
Mmmmmh!
Kumbe ni jamvi la wageni
mkuu siku ikifika yakakukuta haya yaliyonikuta utaelewa tu kiongozi wanguSometimes huwa nahisi nna kichwa kigumu kuelewa.
Anyway, I hope watakuelewa kwa ushauri wako. In the mean time, men are as bad as women can get
Sijui jamaa ni Le mutuziiiiiiiiiiiiiii?Sometimes huwa nahisi nna kichwa kigumu kuelewa.
Anyway, I hope watakuelewa kwa ushauri wako. In the mean time, men are as bad as women can get
Hivi jamani dume zimaaaa na pu.mbu zako 2, na misharubu kifuani, ndevu kama mbuzi unakaa ukimdiscuss DEMU? Gademuuuuuuuuuuuuuuu!
.