Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mwanaume?

Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mwanaume?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,852
Kabla ya kuoa unakuta mwanamke anajipendekeza ukweni mara ampeleke mama mkwe vizawadi ili mradi aolewe akishaolewa vitimbi vinaanza hataki kuona mwanaume anasaidia kwao.

Lakini ukisaidia kwao hakuna shida hivi kweli inafikia sehemu mwanamke anamzuia mume wake kumsomesha mdogo wa ndugu zake wakiwatembelea wanaishi vizuri wakija ndugu wa mwanaume wanaishi kwa gubu.

Wanawake wenye tabia kama hii badilikeni hakuna aijuae kesho unaweza siku moja kwenda kuomba msaada kwa hao uliokuwa unawafanyia gubu.
 
Unaposema Wanawake umemaanisha na kuwajumuisha wote? Kwa takwimu au tafiti zipi?
 
Tena kuna wengine wana gubu ao!
Yaani sijui ata kwa nini baadhi yao wanakua hivyo
 
Ndugu wa mume ni shiiiida, kabla hujaolewa hawaombi hela kwa kaka yao ukiolewa tu imekula kwakoo oopph kaka nafanyiwa operation ya kucha hata alopata E la saba anataka sekondar
 
Molembe

Dear sio wote ni some of them .. I think ni ulimbukeni na ufeki kwa wale wenye tabia hiyo .. Kutojitambua na kujifanya kusahau wapi walikotoka .. To me as far as I know ukipenda Boga ni lazima upende na Maua yake ... Other than that is fake ...Na Roho chafu .. Thanks ..
 
Last edited by a moderator:
Hili swali ungeanza kuwauliza mama,shangazi,dada nk zako waliokuzunguza as nao ni wanawake
 
Hili swali ungeanza kuwauliza mama,shangazi,dada nk zako waliokuzunguza as nao ni wanawake

Hata humu kuna dada na shangazi zake.
mna roho ya ajabu sana nyie sijui kwa nini??

tunawaheshimu ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu lakini dah!!
 
hata humu kuna dada na shangazi zake.
mna roho ya ajabu sana nyie sijui kwa nini??

tunawaheshimu ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu lakini dah!!

Haya nyie wenye roho zisizo za ajabu hebu ibadilisheni dunia maana magaidi makuu na wengi ni wanaume, tunawaheshimu ni baba zetu,kaka zetu,wajomba zetu lakini dah!!!
 
Duuh mimi nawapenda sana ndugu wa mume wangu coz wapo real hasa mama mkwe na wifi mkubwa yaani sijui ila nawaombea Mungu awalinde. Sipendi ukaribu na wao ili kulinda heshima na kuepuka maneno bt they are so nice jamani.
 
Wanawake nao wana chuki binafsi tu, yaani wanaangalia upande wao tu badilikeni huwezi kujua huyo unayemzarau leo utakutana nae wapi na huenda msaada wake ukawa ndo uhai wako badilikeni
 
Tatizo huwa mnawaficha hisia zenu za kiupendo kwa ndugu na hasa wazaz na wadogo zenu...mwanamke nnapomtongoza tu,namtajia nafas yake kwangu..mara zote ni wa6 kiupendo...asipotaka aende..naweza nkaombwa buku5 na mchumba na mara dogo ananiambia hana shati la shule,

lazma dogo apate kwanza hata kama mchumba aliihtaj kwa manunuz ya dawa...mwanamke hatakuja kuupiku upendo nilionao kwa wazee na wadogo kaaaamweee! nshaapa
 
tatizo huwa mnawaficha hisia zenu za kiupendo kwa ndugu na hasa wazaz na wadogo zenu...mwanamke nnapomtongoza tu,namtajia nafas yake kwangu..mara zote ni wa6 kiupendo...asipotaka aende..naweza nkaombwa buku5 na mchumba na mara dogo ananiambia hana shati la shule,lazma dogo apate kwanza hata kama mchumba aliihtaj kwa manunuz ya dawa...mwanamke hatakuja kuupiku upendo nilionao kwa wazee na wadogo kaaaamweee! nshaapa

una mtazamo mzuri mkuu
 
Tunawapa matumaini na power kubwa mno wake zetu..,..unamuambiaje mke eti unampenda kuliko yeyote,..wakati unajua yanayokukabili kwa ndugu na familia ya wazaz kiujumla..?
 
duuh mimi nawapenda sana ndugu wa mume wangu coz wapo real hasa mama mkwe na wifi mkubwa yaani sijui ila nawaombea Mungu awalinde. Sipendi ukaribu na wao ili kulinda heshima na kuepuka maneno bt they are so nice jamani.

Umebarikiwa, but/lakini ukweli ni kwamba ili ndoa iwe na amani ni pale mama mzazi wa mume anapokuwa kaburini hayupo tena duniani.

Msiniulize maswali asiyeamini ukifika muda atakubaliana nami. Baba wakwe most of them hawans shida na wanapenda kuona ndoa za watoto zao zipo stable na watatoa ushauri tu pale watakapoombwa.

Mama zetu maisha yao wameshaishi na wamemaliza sasa wanataka kuishi na maisha ya watoto wao.
 
Ndugu wa mume ni shiiiida, kabla hujaolewa hawaombi hela kwa kaka yao ukiolewa tu imekula kwakoo oopph kaka nafanyiwa operation ya kucha hata alopata E la saba anataka sekondar
Sidhani kama ni shida hata wewe una kaka yako hivyo na wewe ni ndugu wa mume pia hivyo na wewe ni shida kwa mke wa kaka yako kama ndio hivyo, tatizo ni la kisaikolojia zaidi yaani watu wanaingia kwenye ndoa wanawaza mabaya dhidi ya ndugu wa mume badala ya kuwaza vitu vizuri vya kufanya pindi wanapoingia kwenye ndoa, kwa kuwa ana mtazamo hasi na ndugu wa mume inakuwa rahisi kukwazika hata kama itatokea wametofautiana kidogo. (hii ni sawa na mtu let say public figure au ndugu yoyote unaempenda hata kama akikosea huoni kwa kuwa unawaza mazuri dhidi yake)

Solution hapa unapokuwa na watoto au wadogo zako au ndugu wa karibu ni kuhakikisha kuutumia ujana vizuri ili mwisho wa siku kila mmoja awe na maisha yake na kama unapita kwa ndugu yako ni siku moja ama mbili unaendelea na mambo yako mpaka wakukumbuke ama imetokea umepita mkoa wanaokaa (maisha ya waafrika hata kama una hela vipi kuna ka eement ka extended family ambazo hazikwepeki sana maana ndio mbadala wa social security just in case kuna matatizo na furaha)
 
Back
Top Bottom