Kwanini wanawake hawakubali kuachwa.

Kwanini wanawake hawakubali kuachwa.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,850
Mara nyingi kwenye uhusiano mwanamke akitangulia kumuacha mwanaume huwa hamna tatizo lakini sasa mwanaume amwache mwanamke ndo kunakua na kimbembe lazima lijengeke bifu na hata mkikutana no salamu as if hamjawahi kuwa wapenzi kwanini nyie wanawake hamtaki mpigwe chini.
 
We are very weak kupokea hilo neno kuachwa,ndo mana mie nkiona taa ya kijani imeshaanza kufifia,nawasha red fasta,then natambaa mbele na maisha yangu!
 
Bora hata wanawake, wanamme wengine huwa 'violent' kabisa, hata kama sio physical basi walau maneno.

Wengi hatujui 'failure management'
 
wadau hii hoja naunga na kuipinga mana kuna dada mmoja nlikua nae na kubreak up kwetu tuko gd mpaka leo,yan tunachat na kutaniana ila huyu mwngne,kaniblock fb na hatak kujua anytn abt me
 
aaah. mbooo yako siitaki kuionja. nahisi chungu.

hahahaaaaa!!! hivi MMU imekuwa kipande cha jukwaa la wakubwa eenh?

naona mnataja **** na **** bila kuogopa nguvu ya watoto humu!
 
Bora hata wanawake, wanamme wengine huwa 'violent' kabisa, hata kama sio physical basi walau maneno.

Wengi hatujui 'failure management'
too much is harmful... mwanamke akipewa uhuru kupitiliza, anaharibu!
mwanaume nae akiwa na uhuru kupitiliza, anaharibu pia!

la msingi ni kwenda kwa mfumo wa serikali mseto!
 
hahahaaaaa!!! hivi MMU imekuwa kipande cha jukwaa la wakubwa eenh?

naona mnataja **** na **** bila kuogopa nguvu ya watoto humu!

kweli tupunguze ukali wa maneno jamani,wadogo zetu na si ajabu watoto zetu pia wanaperuzi humu.
 
We are very weak kupokea hilo neno kuachwa,ndo mana mie nkiona taa ya kijani imeshaanza kufifia,nawasha red fasta,then natambaa mbele na maisha yangu!

Kwanza nimewahi kukutamkia nakuacha??sikuachi bana wala usijali...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Bora hata wanawake, wanamme wengine huwa 'violent' kabisa, hata kama sio physical basi walau maneno.

Wengi hatujui 'failure management'
Ni kweli,wanaume wakorofi sana wakiachwa
Watakutishia kwa matendo na maneno. Usipojiamini unaweza umrudie!!
 
Back
Top Bottom