Inaelekea na wewe pia hujiamini, huko kwa waganga huwa unafuata nini hadi unakutana na hao wanawake? Acha na wewe kumlisha mtoto wa watu majitu ya ajabu mura.
Mada za uganga zinaendelea, nakubaliana na maneno yako wanaopenda mambo ya ushirikina hawajiamini, halafu cha ajabu huyo mganga nae ni binadamu kama wewe, sasa kwanini usimuombe Mungu ambae haonekani kuliko binadamu ambae anafanya matendo kama wewe kwa mfano kula,kucheka,kukasirika nk
Nipo salama kabisa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya iliyo bora na nitaendelea zaidi kumshukuruHabari ya muda huu mkuu HARUFU
Nipo salama kabisa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya iliyo bora na nitaendelea zaidi kumshukuru
Ingawa mimi simpendezeshi Mwenyezi Mungu asilimia mia moja kwa anayoyataka/anayoamrisha lakini Mwenyezi Mungu anaendelea kunipendelea pamoja na kiburi changu
Wacha weeeMapenzi yangu ndo uganga wangu not otherwise!!
Inshallah maneno mazito sanaAllah akuoneshe njia iliyonyooka na akuondoshee lolote linalokukwaza na kukupa wasiwasi....amin
Wacha weee
Yaani neno hili kila likinijia huwa nakukumbuka wewe
Inshallah maneno mazito sana
Hiyo ndio njia sahihi sio ya sisi/wale waliopotea, maana kuna moto mkali mno huko mbeleni
Siku ambayo watu .... yaani naogopa kuendelea
Naona kama sheria inanibana
Kusema ukweli hilo neno nimelijua kwako kwa mara ya kwanzahahaha!! Usinambie!!
Nitajitahidi Maalim wangu utafiti
Najua kuna KIAMA, je ni nini KIAMA? na je ni kitu gani kitakuonyesha kuwa hiki ni kiama?
Siku ambayo watu .....
Naogopa tena kuendelea Maalim
Amin kwa uwezo wake inshallahAllah atuoneshe kheri kua ni kheri na atuwezeshe kuifuata na atuoneshe shari kua ni shari na atuwezeshe kuiepuka....amin amin
Kusema ukweli hilo neno nimelijua kwako kwa mara ya kwanza
Hapana inatokea, kama unavyoona wimbo fulani huwa unakukumbusha tukio fulanihe he he! Basi utakuwa unaniotaga!!