shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,515
inategemea mmeachana vipi na ulikua unampenda kiasi gani.Wajnga ndo wanabak nazo,asa umeachana nae namba ake ya nn??me na delete kila ktu hta kama kuna pct nazo,nafuta
inategemea mmeachana vipi na ulikua unampenda kiasi gani.Wajnga ndo wanabak nazo,asa umeachana nae namba ake ya nn??me na delete kila ktu hta kama kuna pct nazo,nafuta
Haah nimecheka sana wengine tumeachwa na matarumbeta juu ilimradi kuvalidate uachie ngaziInshort kuachana sio bifu.Huwezi jua dunia duara eX wako anaweza kuja kuwa msaada kwako utapoanguka ukakosa wa kukuinua.
Karibu sana.Sometimes inakua co kwamba hajaifuta, nop....bali no inakua ipo kichwan akiamua kukutafut anaiwk kwa cm ...thats why
Mamamamae zake demu langu nunda limefuta zangu mi ndo nimebaki za zake. Sasa sijui kama ni kweli limefuta au uongo