Kwanini wanawake hamtaki kuchunwa?

 

Attachments

  • IMG_20161204_060943.jpg
    69.8 KB · Views: 35
**Maumivu,machungu,hasira,huzuni anayoipata mwanaume anaehonga na mwanamke anaehonga ni sawasawa baada ya kumpoteza mpenzi wake.
*Mara nyingi huwezi kuumia katika mapenzi mnapoachana na mpenzi wako ikiwa hujagharamia (pesa, vyombo, vocha, muda wako)

-- Mwanamke akikupa hela yake, hata kama ni 1,000 tu ya vocha au labda katika emergency alikulipia kitu baada ya kupungukiwa..ni gumzo mpaka hakuna raha tena, atajisifia mpk majirani watajua na ikitokea mmeachana atakutia aibu tu maana kila atakaemuelezea historia/mpenzi wake mpya basi hataacha kukusemea[emoji1] [emoji1]
 
kama mwanamke TASA
 
Acha tuwaonge wanawake tu maana papuchi wanazigharamia sana; kuna hela ya pedi, sindano ya kutuliza maumivu ya tumbo, dawa ya kutibu fangasi mapajani, vidonge vya kuua bacteria ukeni, mafuta ya kulainisha 0713 kama ni mtumiaji, vipodozi vya kulainisha ngozi hakuna anayependa kukutana na demu aliyekomaa na kukakamaa, dawa ya kurudisha mnato kama k imelegea na bado vijana mnapenda chura dawa za mchina zinaanzia laki kwenda mbele, sijasahau nyonyo hakuna anayependa akutane na mtoto halafu chuchu zimelegea kama soksi kuna dawa za kuboost mnajua gharama zake. Mkinyonya mate ule utamu mnaousikia hadi hamtaki kutoa midomo yenu ujue ni hela ile kuna dawa za kutunza kinywa. Hayo yote mwanamke anayafanya kwa ajili yako halafu bado unataka akuhonge!??? Shauri yako mademu wazuri utaendelea kuwaita shemeji
 
Kama wataka Nawe uwe mchunaji kunywa maji mengi
 
Mwanaume ukiombwa hela,shukuru,hapo unapewa nafasi ya kumfanya chochote kile ambacho unaona wewe kinafaa,tena ukiwa sio mstaarabu,unamla hadi tigo.Huu ulemavu wa baadhi ya wanawake kutaka kuhongwahongwa kunafanya baadhi ya wadada wafanywe vile inavyoonekana inafaa na wahongaji.Acha wahongwe,wengine wanavyofanyiwa sisi wanaume tusingekubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…