GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,604
- 127,977
nilikosea no
Hili ni rahisi kuliko yoteHata ukifanikiwa kumjibu swali hilo kuna lingine atakuuliza una .. "shida gani? " hapo lazima jasho likutoke.
Maswali yote ni rahisi inategemea tu ujasiri wako.Hili ni rahisi kuliko yote
Ah mimi ndio maana huwa napenda kuwaibukia na kuwaomba wenyewe. Na bahati nzuri sujawahi kunyinwa namba na siku nikinyimwa nitaacha kabisa kuomba namba