Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Mke/mume hashikwi ugoni we unamsubiri amalize akirudi nyumbani ndio unauliza,..tena ikiwezekana unamtoa out kabisaa unaenda kumhoji huko,.Kwaio umeshikwa ugoni unataka upelekwe out? Na mapocho pocho
Wanawake zetu hawa usipowapiga makofi hawakuoni km upo serious
Kwa sababu ni dhaifu na waoga, hawawezi kupigana Wanaume wengine hivyo hasira zao wanazitolea kwa jinsia dhaifu kimwili!
Kwa hili swali lako nachelea kusema kuwa ama hujaoa bado ama yamkini hujawahi ishi hata na mtoto mdogo kwa miaka kadhaa!Wakuu poleni na majukumu ya siku!
Wakuu ni kwanini wanaume wengi hawawezi kuishi na wake zao bila kuwapiga hata mara moja!?
Hii naweza kubali maana duniani kuna mengi, si kila mtu anapenda uwe na amaniUkiona unampiga mkeo...jua kuna pepo chonganishi(wale wa imani)
Anhaa mimi nakufata hapo hapo ulipo nakupa vitasa vya kutosha nakupa option mbili uhamie kwa huyo jamaa au nikupeleke kwenu maana kwangu hurudiMke/mume hashikwi ugoni we unamsubiri amalize akirudi nyumbani ndio unauliza,..tena ikiwezekana unamtoa out kabisaa unaenda kumhoji huko,.
Sababu mfu sana. Kupigwa kwa mke na kupigana na mwanaume mwingine kuna kuja kwa mazingira tofauti na sababu tofauti.
Kuna baadhi ya wanawake usipochapa hata makofi wanakuona dhaifu na kuanza kukuzoea vibaya na kukupanda kichwani
Asilimia kubwa ya wanaume tumeumbwa na uvumilivu.Wapo walio na hasira za haraka lakini wengi wetu lipo suala la uvumilivu.Kinachowaponza wanawake mara nyingi ni hawana stara kwenye maneno.Wana maneno mwngine ya "wembe".Ninaposema wembe nafikiri ulishawahi kukatwa na wembe.Wembe ukakata vibaya na ni mkali.Sasa wanawake wengine wana maneno makali ya maudhi na hawanyamazi wala kufikiria mwisho wake ni nini.Wakuu poleni na majukumu ya siku!
Wakuu ni kwanini wanaume wengi hawawezi kuishi na wake zao bila kuwapiga hata mara moja!?
Umeongea kama dada anaejitambua vzr ...natamani uwe ni mtu wa hivi ulivyonena!Mwanaume anayempiga mkewe mangumi na mateke,wengine wanaenda mbali wanatumia hadi silaha mimi nawaona wana shida kwenye bongo zao na hawajiamini kabisaa...mwanamke ana namna yake ya kupigwa bwanaa na akapigika kwelikweli sio unambalasa kama mbwa koko ndio nini...?!
Tupigeni kwa mahaba mazito,Vito vizuri-zuri ee outing za kutosha,mapocho-pocho,.vibao/makofi nipigie kitandani sio nje kila mtu aone..
Aiseeee!Mke/mume hashikwi ugoni we unamsubiri amalize akirudi nyumbani ndio unauliza,..tena ikiwezekana unamtoa out kabisaa unaenda kumhoji huko,.
Mkuu unapendekeza tuwabutue?Sababu mfu sana. Kupigwa kwa mke na kupigana na mwanaume mwingine kuna kuja kwa mazingira tofauti na sababu tofauti.
Kuna baadhi ya wanawake usipochapa hata makofi wanakuona dhaifu na kuanza kukuzoea vibaya na kukupanda kichwani
Umenena vyema mkuu muda si mrefu navuta jikoKwa hili swali lako nachelea kusema kuwa ama hujaoa bado ama yamkini hujawahi ishi hata na mtoto mdogo kwa miaka kadhaa!
Oa kwanza ndio utajua kwanini wanapigwa, au panga apartment umkaribishe mpenzi wako uishi nae kwa mwaka mmoja tu awe analala na kuamkia kwako! Utayapata majibu