Ukiangalia Wanaume wanasumbuliwa zaidi na Mwanamke kutokufikia kileleni klk hata ya Mwanamke mwenyewe, kwa nini lkn? Kwa uzoefu wangu Wanawake wengi wala siyo ishu kihivyo, ...
Ila swala la kufikishana kileleni ni swala la ushirikiano...
Hapo pia kuna mawili tatizo linaweza kuwa kwa mwanamke mwenyewe... Kila anapoandaliwa yeye mawazo yake yote yapo kwenye kumchuna jamaa... Hatoweza fika keleleni...
Au tatizo linaweza kuwa kwa mwanaume.. Hajamuandaa mwanamke vizuri...
Sio kila mwanamke anafika kileleni,kuna wengine wanajifikisha ili mradi atue mzigo(mwili wenu) . akuibie(akuchune pesa ndefu) ujione kidume umemuweza kweli kumbe walaa anakuchora tu.
Umalize haraka aende zake au akafanye shughuli nyingine