Tangu lini mwanaume humkosea mke? Huwa hakosei ebo!Jaman iv n kwa nn wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha ,hii inawaumiza sana wanawake kwan huwapenda wapenzi wao,
Mdada ikimtokea hali hii ,je , ajiahushe ,akaushe au afanye nini? Ushauri wenu wana jf
Actualy some huwa wanakuja ku admit baadae sana. ila nyie wanawake wenyewe hampendi mwanaume anaomba omba msamaha kila mara..Jaman iv n kwa nn wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha ,hii inawaumiza sana wanawake kwan huwapenda wapenzi wao,
Mdada ikimtokea hali hii ,je , ajiahushe ,akaushe au afanye nini? Ushauri wenu wana jf
Tena juu mawinguni hukooo! Wasitupangie.Kwa sababu sisi ni wa juu, sisi ni wa juu sanaaaa...
Mkuu kulikuwa na haja gani ya kuambatanisha picha?Kwa sababu tuna uwezo mkubwa na vile vile tuna hela na hela ndo kila kituView attachment 1905830
Ngoja nidanlodi hii picha, huenda ikanisaidia....Kwa sababu tuna uwezo mkubwa na vile vile tuna hela na hela ndo kila kituView attachment 1905830