Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Swaaaadaktah! Wanajua sema wanajitoa tu ufaham
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndivyo tulivyo hata usipate tabu kutafuta sababu. It's all about nature, maana yake hatutaweza kubadilika kamwe labda ukajaribu kuwaulizia wa sayari nyingine kama wapo ila hii dunia usipate tabu kubali tu moja bila na mpira umeisha
 
Mwanaume yeyote anayedindisha hawezi kuridhishwa na mwanamke mmoja hata afanye nini, hata awe mzuri vipi



"Not everything is for everybody"
 
Tunachepuka kwa sababu tuna korodani inayozalisha testosterone mara ishirini zaidi ya ovary ya mwanamke.
Kwenye kende kuna chembe hai ziitwazo “interstial cells of Leydig ambazo zina pump inayoitwa testosterone pump. Hii pump ndiyo inayowasumbua wanaume.

Mwanamke akichomwa testosterone akafikia concentration kama ya mwanaume kwenye damu yake anawehuka na kuanza kuvua nguo ovyo na kuonesha sehemu zake za siri ovyo.( Manic)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bora umewaambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…