Kwanini wanaume wana upungufu wa Nguvu za kiume?

Kwanini wanaume wana upungufu wa Nguvu za kiume?

mi naombaga na kusema mungu apishe mbali

kwa mfano uolewe na mwanaume aliepungukiwa nguvu za kiume utafanyaje???

Sababu kumuacha uwezi,yaani ndo maana nasema hili janga lipite mbal maana kuna kijana mdogo sana namfaham mwenye hili tatizo you cant imagne

itabidi uvumilie tu masai dada,,,,,lakini KABLA hamjaoana si lazima mtakuwa mshasex na kujuana vilivyo
 
hujatuambia research yako imetumia njia gani ya kukusanya data.pia sampling procedurs ulizotumia ili kuthibitisha hypothesis yako.
 
Back
Top Bottom