Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
- Thread starter
-
- #41
HapanaWamekupiga mimba?
Fact, brokenness is HELL!Nothing humbles a woman like pregnancy.
Nothing humbles a man like being broke.
hapo kwenye bold hii ni thread ya pili naona unaikazia hii point.Majukumu mpenz...hata kwenye ndoa usijethubutu kuzaa kama simbilisi ukitegemea utamfurahisha mumeπͺ
Ni single maza amezalishwa watoto 3 bwana kamkimbiahapo kwenye bold hii ni thread ya pili naona unaikazia hii point.
πkuna kitu najaribu kunote hapa.
Waogaje umevaa koti la mvuaNyie wenyewe si ndo chanzo?! Mnasemaga mapenzi bila uongo hayaendi. Mkidanganywa tena, mnalalamika. Ukweli,ndo mwiko kwenu.
Mnatakaje sasa!
Basi siku nyingine mkienda kusex omba msaada wa kondom hapa hapa πππππ
HehWaogaje umevaa koti la mvua
basi anafanya vizuri kuwapa soma vibinti vya 2000sNi single maza amezalishwa watoto 3 bwana kamkimbia
Ni ukweli aisee nimeona hiloMnafikiri mkiwazalia wanaume watoto basi watakuwa committed kwenye mahusiano nanyi
Mnajidanganya sana mtaishia kuwa single mazas
Angalau sehemu salama ya kuzaa mtoto/watoto ni kwenye ndoa
Kama haujaolewa tombesha kwa akili
KweliInategemeana na malengo yenuπ€π! Mjini mipangoπ΄
Jifunze ku tofautisha BOYS & MANMnasex wote , mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.
Why mpo hivi??
Mmmh wewe balaa unajua Hadi simbilisi..Majukumu mpenz...hata kwenye ndoa usijethubutu kuzaa kama simbilisi ukitegemea utamfurahisha mumeπͺ
Wacha wewe ni manJifunze ku tofautisha BOYS & MAN
GentlemanWacha wewe ni man
HayaGentleman
Na ajifunze kutofautisha kupendwa na kutamaniwaJifunze ku tofautisha BOYS & MAN